Ni kiashilio cha mtu mwenye hasira sana!
Umelitendea haki jina lako!Hapo unaweza chomeka earphone
Siamini kama ni kweli ningehakikisha ingekuwa vizuri zaidiWenye hivyo vidude huwa ni wambeya sana na wananasa sana maneno hata ukiwa chumban yeye sittingroom anasikia apate kupeleka umbea
Kama ni mkubwa je?!"Njuguyugu". Watu wenye hvyio vitobo huwa na hasira sana kama ni mtoto akianza kulia hanyamazi hadi atake mwenyew.
Duh!Hiyo kwetu tunaita Njuguyugu, ipo hiyo ya sikioni na ipo ya matakoni.
Kazi yake sijui
Anakua na asira zisizo na kikomoKama ni mkubwa je?!
Niliwaza ivoivo mkuukazi yake ni kuchuja sauti,,,
Ni kama twita kwenye sabufa.


