Ni muda mrefu Sasa, kila niki-search kitu kupitia Google, location ya mahali nilipo ambayo huwa inatolewa na Google wenyewe mwishoni mwa page imekuwa Ni ya kubadilika. Utakuta inaonyesha location Niko Morogoro wakati huo nikiwa Mwanza.
Nilifikiri huenda Ni kwa vile nilishakaa katika maeneo yanayoletwa kama location ya mahali nilipo, lakini recent location ndiyo imenishitua zaidi.
Ajabu Ni kwamba, tokea nizaliwe, sijawahi kukanyaga Tabora mjini hata siku moja.
Je, hawa Google Wana kichaa kunibambikizia location ya wakati ninatafuta taarifa mbalimbali?