Hii imetulia kweli ,angalia

Hii imetulia kweli ,angalia

chaikavu

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2015
Posts
760
Reaction score
473
MMGL1119.jpg
 
Ila hizi Tshirt za chadema safi sana. CCm wanataka kuzziga lakini rangi zao wala hazitapendeza namna hii!
 
chadema siku hizi Ina wadada wazuri
 
hadi raha mheshimiwa David Kafulila ndani ya nyumba
 
Tshirts nzuri kwa kweli, zinapendeza.Nasubiri za kwetu nazo zinakuja zitawavutia.Kuna mwanadamu ameuliza nani supplier,ukiambiwa ni mke wa mbowe inakusaidia nn?.Ukumbi wa CCM dom alipama mtoto wa Anna Kilango watz wakachonga sn.Sasa watu wasipewe tenda kisa ndg yake yuko hmo hmo?.Tufanye kazi bhan tuachaane na mawazo mgando.Alipangalo mjinga ndilo litakalomtokea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom