nosspass
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 5,815
- 4,792
hata wewe!!!!kwa matendo ya wanaume!
bora kupenda pesa yake tu kwa kweli.
hata wewe!!!!kwa matendo ya wanaume!
bora kupenda pesa yake tu kwa kweli.
Biblia inasema "mtu huongea yaujazo moyo wake"Huyo mke wajamaa alichokuwa anakiongea sio kilicho moyoni mwake ila ninachokiona hapo ni story za kijiweni mkikutana nakuungana mkono. Pale mwelevu anapojaribu kumuunga mkono mpumbavu ili waendane ila ukweli wamwelevu ubaki moyoni mwake.
Mfano hata sisi wanaume tunapokuwa vijiweni, tunawananga sana wanawake wetu ila ukweli unabaki kwamuhusika mwenyewe
AmenMkuu umenikumbusha, nitaangusha uzi mida nikitulia ila daah haya mambo hata huku yametokea.
Kila la kheri wanaokimbilia ndoa!
Dah life kweli is not fairWanaowapenda huwa mnawaringia na nyodo kibao, ngoja wawanyooshe hivyo hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaekupenda atakutetea mpaka mbele za watu.fahamu kuwa kuna mob psychology inawezekna anasea hivyo kwa kufurahisha genge au unafiki kwa wenzake na akawa tofauti kabisaa ktk tabia na matendo yake kwa mumewe....siyo kila linalosemwa linatendwa......
yaap nimeachana na historian za kale..nakwenda na wakatihata wewe!!!!
hakika...mwendo kasi...yaap nimeachana na historian za kale..nakwenda na wakati
Ukiona umeanza kuwaelewa wanawake ujue unakaribia KUFA..!!!Wanawake ni pasua kichwa
Hayanihusu kweli ila dah MWAMBA KAPOTEA.Mkuu fanya kilichokupeleka huko hayo mengine achana nayo
Tatizo wotee sura zinafanana.Yaan wanaopenda kwanza pesa wameolewa, wanaokua na upendo wa dhati hawaolewi![]()
Ngoja tutafute pesa tutaona tukizeeka.Aliesema tafteni hela mlimuona mchawi sio?
Mapenzi yapo hata uzeeni hamuoni yule waziri mstaafu ameo binti wa miaka 18?
Hapana aisee..Nahisi mwerevu aliamua kwenda na biti za mpumbavu ili waende sawa.
Kuna nyakati unaangalia akili za unayeongea nae then unaenda nae sawa ili kuokoa muda wako.
@Chakorii inabidi tufunguane mimi na weweHawa ndo wale wanawake wanaofanya tuo nekane wanawake wote ni wabaya


Hivi tulifungana ee...safi@Chakorii inabidi tufunguane mimi na wewe![]()
Jombaa unafikiri kila mtu anaweza kusoma alama za nyakati ee🤓🤓acha kujifanya huelewi
Jombaa unafikiri kila mtu anaweza kusoma alama za nyakati ee![]()



mimi mwenyewe sijui. Lakini angalau nusu ya maana inaelewekaYani mimi ndo sielewi hata robo mkuu bora yako wewe umeelewa nusumimi mwenyewe sijui. Lakini angalau nusu ya maana inaeleweka
Yani mimi ndo sielewi hata robo mkuu bora yako wewe umeelewa nusu



yanini malumbano