Hii imekaaje?

kwenye gari la mwanaume mdori unaweka wa nn? hayo ni mambo ya kike gari linawekewa mpk mito ya kitandani wapi na wapi gari la kiume linawekewa muziki mkubwa tu sio mapambo kama kwenye spacio

Asante mkuu nalifikisha bila chenga
 
Inawezekana huyo mdoli wake kapewa na Binti mwingine so akimpa ni issue!!
Si unajua kugawa zawadi uliyepewa na umpendae,awe mkweli kwa huyo Binti!!

Wote wana kautoto ndani yao!Mwanamke kwakung'ang'ania mdoli wa watu na mwanaume kuona mdoli ni ishu sana...sini mpenzi wake?Angempa tu!
 
Unajua jamaa aliifanya kitu kikubwa sana akiwa huko Singapore na mdori ilikuwa ni moja ya zawadi ambayo kwake ina kumbukumbu kubwa..

si amwambie tu kuwa hampi, sasa huyo mdada achague kama anataka mdoli au mume
 
Asante sana Rose You have a point, wote wana makosa Jamaa alifuga ubovu, mara zote dem akiingia kwenye gari ilikua lazima atoke na kitu, ashawahi kuchukua akadai alikua anaitafuta kwa muda mrefu anaiomba, akapewa

ahh swaga izo ni omba omba uyo na hatakuja kumtosheleza..VBAYA KUONA?
amkimbize uko
uyo ata fikra za kujismamia mwenyewe hana kila kitu lazma aombe ...akimuoa ata chumzi ikiisha atawaambia watoto ebu kaen apo msubirin baba yenu alete chumv mi stoi ela yangu sasa ivi
demu uyo dzaini za kusaidia ndg/wazaz hasa wa kiume ondoa ni kwamba ukisaidia ndg au wakija kuwatembelea atanuna uyo kuanzia j3 mpaka ijumaa!!!!!!!!
 
Teh teh teh teh!!!
No Comment I WISH...........!!!!

Back
Top Bottom