Hii imekaaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii imekaaje?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Elia, Dec 28, 2010.

 1. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Jamaa anademu wake ambaye wamefahamiana sio zaidi ya miezi miwili iliyopita, katika kumwaga sera jamaa alimhakikishia dem kwamba yupo serious na relation ikiwezekana izae ndoa. Katika kuweka mambo sawa, juzi alikuwa na second date na huyo dem wake siku ilikua nzuri sana anavyo dai, tatizo lilianza njiani wakati anamrudisha, Demu aliomba apewe mdori aliyekuwepo kwenye gari ya jamaa, jamaa alimwambia atamtafutia mdori mwingine ikiwezekana anayefanana na huyo lakini demu alikomaa anataka huyo huyo kama kununua anunue wake. Mwisho wa safari Dem aliposhuka kwenye gari hakumuaga. Jamaa ni Rafiki yangu sana ameniomba ushauri kuhusiana na mpenzi wake huyu ambaye anategemea kuoa Mungu akijaalia Naombeni ushauri wana JF
   
 2. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  bado sijaelewa unataka tushauri nini hapo Elia!!!!!!!
  hujafafanua tatizo ni nini?
   
 3. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2010
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 743
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  mdoli! Tatizo mdoli?.
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Wote wana kautoto ndani yao!Mwanamke kwakung'ang'ania mdoli wa watu na mwanaume kuona mdoli ni ishu sana...sini mpenzi wake?Angempa tu!
   
 5. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ni kweli kabisa kautoto kanawasumbua!!
   
 6. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #6
  Dec 28, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  nina wasiwasi na jamaa...mdoli? mwanaume?
   
 7. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  mbona haijakaa vyovyote vile????!!! sasa unataka tumwambie ampe au asimpe huo mdori au we unataka nini hasa? go back and rephrase your thread!!!
   
 8. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #8
  Dec 28, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kweli kabisa mkuu,labda alikuwa anataka mdoli mkubwa!!tatizo hawakuelewana tu!!
   
 9. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #9
  Dec 28, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,429
  Likes Received: 2,001
  Trophy Points: 280
  kwenye gari la mwanaume mdori unaweka wa nn? hayo ni mambo ya kike gari linawekewa mpk mito ya kitandani wapi na wapi gari la kiume linawekewa muziki mkubwa tu sio mapambo kama kwenye spacio
   
 10. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #10
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Small things alwayza zinamatta sana,huyo msichana asitake kutafuta sababu,how old are they?kaanza kunga'ng;ania mdoli na kususa si atanga'ng'ania benzi nexty time?wakae waongee mdoli ni tatizo godo sana kugombana.
   
 11. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #11
  Dec 28, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  uyo mdor alikuwa yukoje?isije ikawa ana KAZI nao?
  sjaona pbm apa sasa unataka ushauriwe nini apo?
  napata picha mbili kwenye i stor yako;

  1.demu anaonekana ajakua,
  --hana uvumilivu,
  --hana ustaaarabu- hauwez ukaingia tu kwenye gari na kulilia vtu vya watu uondoke navyo,
  --demu si mvumilivu that ntakununulia wako bt still anan'gan'gania tu apo jamaa ajitayarishe ni sampul za wale wanawake nataka BMW km ya meng wiki ijayo....km sivyo mi narud kwetu..haunipend...
  --DEMU ANAONGOZWA NA TAMAA BILA KUZINGATIA FACT ..
  --akili fuuuuuuuuuuup km sandoz za kiyahudi.(akichambua tabia kutoka kwenye iyo swaga utakuja kuona uyo si demu wa kuoa ni MBINAFSI PIA ..its ol abt me)

  2.
  mwanaume naye ni tatizo ..km alimwona bibie analilia sana angemwachia tu na kumwambia km umelizika nae poa we chukua lakin ntakutafutia mwngne mzuri..apo case ingekuwa imekufa lakin si mwanaume na mwanamke mnan'gan'gania mdor ahhh i kali
  -mwanaume hana busara wala hekima
  -mwanaume hana utubutu wa KUJITOLEA ..km kashindwa kuachia mdori tu je yupo tayar kujitolea kwa demu kwenye tatizo lingine?
  -si mlezi na wala hana ubaba...malezi ya watoto na huduma pia ni tatizo in sense of kuibeba nyumba na mahitaji yote
  -mwanaume ni mchoyo
  --anapenda ushindani na ubishani apo usishangae kuona unabshana na mwanaume km unabshana na HADIJA KOPA..
  --km ningekuwa mimi apo ningefunga kitabu(uyo demu km alipitia somo fulan ivi basi alifanya ivo makusud ili apate kujua tabia ya jamaa..kwa wenyewe apo wanaweza wakakuchambulia tabia za jamaa zoooooote
  --ahh ebu mie nkapike bamia nile..
   
 12. NG'OTIMBEBEDZU

  NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member

  #12
  Dec 28, 2010
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Nadhani hii inatosha, bibie inawezekana mjanja sasa tusubiri story ya baada ya kukutana siku nyingine hali ilikuwaje!
   
 13. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #13
  Dec 28, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kweli
  .
  lakin apo wamekutana..unamnyima demu mdori ahh hatari..!!!!!
   
 14. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #14
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135

  jamaa hana uhakika kama ilikua sabau ya kumuacha au ni kweli dem aliupenda mdoli, na je aka mbembeleze na kumpa mdori au aachane nae?
   
 15. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #15
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Jamaa mdori ni kumbukumbu yake ya good time alipokuwa Singapore alipewa kama zawadi
   
 16. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #16
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mdori ndio tatizo hasa, na jinsi dem alivyo likuza jamaa anahisi ilikua gear tu
   
 17. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #17
  Dec 28, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  alipewa zawadi ya mdori? mkaka?
  sipati picha yule mkaka wangu nikimnunulia zawadi ya mdori, sijui patalalika!!! najiuliza tu...........
   
 18. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #18
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Asante sana Rose You have a point, wote wana makosa Jamaa alifuga ubovu, mara zote dem akiingia kwenye gari ilikua lazima atoke na kitu, ashawahi kuchukua akadai alikua anaitafuta kwa muda mrefu anaiomba, akapewa
   
 19. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #19
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Unajua jamaa aliifanya kitu kikubwa sana akiwa huko Singapore na mdori ilikuwa ni moja ya zawadi ambayo kwake ina kumbukumbu kubwa..
   
 20. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #20
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hilo bamia vipi?
   
Loading...