strong ruler JF-Expert Member Joined Nov 2, 2013 Posts 4,919 Reaction score 3,313 Dec 24, 2013 #21 Hiyo imekaa kizinzi
kibella24 JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 677 Reaction score 158 Dec 24, 2013 #22 vichaka vimejaa tele, km umekosa hela ya gest nenda huko. KUmpeleka hawara kitandani kwa mkeo noma, usirudie tena.
vichaka vimejaa tele, km umekosa hela ya gest nenda huko. KUmpeleka hawara kitandani kwa mkeo noma, usirudie tena.
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,808 Dec 24, 2013 #23 realleonia said: Jamani hivi kumchukua bamedi wakati umelewa na kuja kumgegedea kwenye kitanda unacholala na mkeo wakati mkeo yupo safari hili suala wadau laweza kuwa laana?Na laana hiyo unaisafisha vipi? Click to expand... Heri Yao wazinio kwa maana jehanamu inawangoja
realleonia said: Jamani hivi kumchukua bamedi wakati umelewa na kuja kumgegedea kwenye kitanda unacholala na mkeo wakati mkeo yupo safari hili suala wadau laweza kuwa laana?Na laana hiyo unaisafisha vipi? Click to expand... Heri Yao wazinio kwa maana jehanamu inawangoja
Daud omar JF-Expert Member Joined Apr 4, 2011 Posts 2,460 Reaction score 987 Dec 24, 2013 #24 Pombe sio chai ndugu