Hii imekaaje?

realleonia

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2013
Posts
366
Reaction score
139
Jamani hivi kumchukua bamedi wakati umelewa na kuja kumgegedea kwenye kitanda unacholala na mkeo wakati mkeo yupo safari hili suala wadau laweza kuwa laana?Na laana hiyo unaisafisha vipi?
 
We utamletaje hawala au malaya kwenye kitanda unacholala na mkeo? hiyo ni laana na kuisafisha ni mpaka umkabidhi bwana Yesu maisha yako na utubu kweli na uache hizo pombe mara moja.
 
ni laana kubwa sana na huwa aiishin mapaka vizazi vinnee vipite....
 
utakuwa umedhamilia tu kumdhalilisha mkeo.mpaka umpeleke nyumbani gest zote hizo njiani hujaziona au???
 
Aisee hiyo mbaya sana yaani unaonyesha ni kiasi gani mkeo hana thamani kwako gest zote zipo kwa ajili ya watu kama ww sasa mpaka unampeleka baamed kwako,unajitafutia matatizo,unajua kutubu ni pamoja na kumwambia mkeo ukweli halafu unamuomba msamaha hiyo ndo toba ya kweli hata Mungu atakusamehe ila usirudie tena huo mchezo mchafu
 
Bar Maid naye ni mtu. Hakuna cha laana wala nini!

si maanishi kuwa barmed hafai kulazwa ndani hapana tena hapana kubwa....... hata kimada hatakiwi kulazwa ndani kwenye kitanda anacholala mkeo sawa mkuuu ,..l...
 
Kosa ni kulala kwenye kitanda cha wewe na mke wako au kosa ni kutembea nje ya ndoa?
Kama kweli unamheshimu mke wako na unaithamini ndoa yako huwezi kutoka nje ya ndoa.
 
hio haik0 poa kabisa... ukizingatia hata mke0 anafillings......... kusafisha mwambie ajue and akusameheKImua..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…