Emecka
Member
- Jul 17, 2012
- 75
- 27
Hii imekaaje wanaMMU,
Unakuta mwanaume kaachana na mkewe wa ndoa kisha akaoa, ilakwenye documentation anawaandika mke wa ndoa na watoto ila Bi. Mdogo ndo hivyotena haandikwi wala hana reference yoyote katika document za huyo mwanaume. Lakini bi.mdogo ye anachojua kuwa kaolewa ila hana ndoa na yule mwanaume zaidi ya kutambulishwa pande zote na kutolewa mahali.