Hii Imekaaje?

mdhama

Member
Apr 11, 2011
48
19
Hope mlikua na siku njema ya "Wapendanao". Jamani, hivi hii imekaaje? Mpo mabinti wa tupu mmeamua kutoka na kwenda ku barizi either bar au kwenye restaurant. Mmeagiza vinywaji vyenu na mnaendelea na starehe zenu, mara anakuja mhudumu na vinywaji akidai ameagizwa alete kutoka meza flani, mkiangalia wapo wa zee kibao nao wana business zao. Mnapokea na kumwambia mhudumu afikishe shukrani zenu. Baada ya muda anakuja mmiliki mwenyewe wa eneo hilo na kuwasalimia huku akiwaonyesha alietoa ofa ile na kuwashawishi muendelee kunywa( ili azidi kuuza).
Mnagoma kuongeza na mnaamua kuondoka sehemu ile, then mmiliki wa ile sehemu anawasihi muendelee kukaa na kunywa, mnapogoma, anaanza kuwaomba number zenu za simu na blah blah kibao, mnagoma baada ya ku learn kwamba anataka hizo number ili apeleke kwa aliyetoa ofa na mnagundua kwamba aliyetoa ofa ndio aliemkodishia (landlord) jamaa hiyo sehemu ya biashara. So jamaa ni kuwadi wa huyo mzee. Hivi hii si ni sawa na kuharibu biashara? manaa kwa style hiyo unawafukuza wateja kwa kuwa bugudhi na mambo yasiokua ya maana. Au anafanya hivyo ili apunguziwe kodi?
 
Hapo itakua ndio tabia zao. Kuna wasichana wengi wangefurahia hiyo opportunity... Ila inakera kwa kweli.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom