Hii imekaaje?

Hii imekaaje?

MWANAHARAMU

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
5,350
Reaction score
13,623
Binti alisema jamaa alimbaka miaka kadhaa huko nyuma baada ya kugundua tunafahamiana.

Baharia nikaipotezea kwa sababu kidimbwi naendelea kusugua nikaona haina noma ngoja kawe kaside chick.

Sasa leo nimeingia dar, nikaomba simu yake nimcheki mwamba ili nimpe maelekezo nakuta namba ya jamaa imeseviwa jina la mdogo wangu.

Nikauliza hili jina la nani?
Nikaambiwa la yule jamaa

Kifupi huwa nampa vikazi vya site na kumtuma hapa na pale

Nahisi nimekuwa babu jinga au nilikuwa Babu jinga na huu ujauzito unanipa mashaka.
 
Nishakuwa na mwanamke ambaye alibakwa kwa kweli akili zao zinakuwa haziko sawa. Kifupi safari ya mapenzi ilikuwa na maumivu makubwa mno!

Pia alikuwa anafanya makosa mengi mda mwungine purposefully. Kuna kitu niliki note kuwa mda mwingine nilihisi kama nilikuwa naongea na mtu mwingine kabisa. Mtu ambae simjui. Kichwa chake kama kilikuwa hakielewi au kinapoteza dira...

Mpaka leo hii sina majibu ila tu Mungu ni mwema. Kuna mda inabidi utumie jicho la tatu kuona vitu tofauti. Mfano alikuw anaweza space out anyway am not in the mood to tell. .

Ila nachokushauri jambo hili lipe muda. .
 
Piga chini, suala la Mtoto litajulikana akijifungua, kwani una uhakika gani kwamba upo peke yako au hiyo mimba ni yako?
 
Akawa amerudi Dar es Salaam na Mimi kurudi kwa mamsap ikionekana nimetoka Mpanda kikazi wakati nilikuwa mjini hapo hapo.

Ni kweli. Umerudi nyumbani kwa mamsap wako na tope [emoji116][emoji116][emoji116]

BmIEWI1IcAAeSot.jpg


Kwingineko fanya hivi:

Kwa sasa hudumia hiyo mimba tena kwa moyo mweupe bila manung'uniko ila akijifungua pima DNA huyo mtoto ili uwe na uhakika.

[emoji3591] Akiwa wako shukuru Mungu maana utakuwa umetimiza majukumu yako kama mwanaume na baba.

[emoji3591] Asipokuwa wako hesabu kuwa umetoa sadaka na Mungu hatakuacha Anapogawa mibaraka yake. Cha muhimu tu usilalamike, kujuta wala kujilaumu.

Ni hayo tu kwa sasa [emoji1545]
 
Siku hizi hakuna mwanamke wa peke yako.
Unaweza shangaa demu unaemuona wako peke yako anakuchukulia wewe ni mchepuko maana ana bwana 'ake anaemchukulia wake peke yake.

Kuna jamaa alikuwa ana demu, akahisi ni mke mtarajiwa kabisa jinsi walivyopenda.
Demu alikuwa ana mtu anaemtumia pesa na mahitaji yote, kaseviwa uncle kwenye simu. Na jamaa kaambiwa uncle ndie anaemsomesha na kumlipia hostel. Na huyo uncle ni kaka wa mama yake demu.

Siku moja jamaa kazuka hostel kwa demu bila taarifa anakuta uncle nae yupo kapeleka mahitaji (hakuwahi kumuona kabla, zaidi ya kusikia akitajwa tu).
Cha ajabu jamaa anamuona mzee wake; kumbe uncle ni baba mzazi wa jamaa kwa maana sugar daddy (uncle) wa demu ni baba mzazi wa mshkaji.

Jamaa katoswa na demu akawa mama yake wa kambo.
 
Nilikuwa na kademu stori za mwanzo alinambia yupo bikra siku napeleka Libololo kachuuu bwiii.
Namuuliza mbona papuchi ipo wazi kama mlango wa soko la Kariakoo. Akasema baiskeli ndio imembikiri🤣🤣🤣 nilipiga chini faster.
 
Siku hizi hakuna mwanamke wa peke yako.
Unaweza shangaa demu unaemuona wako peke yako anakuchukulia wewe ni mchepuko maana ana bwana 'ake anaemchukulia wake peke yake.

Kuna jamaa alikuwa ana demu, akahisi ni mke mtarajiwa kabisa jinsi walivyopenda.
Demu alikuwa ana mtu anaemtumia pesa na mahitaji yote, kaseviwa uncle kwenye simu. Na jamaa kaambiwa uncle ndie anaemsomesha na kumlipia hostel. Na huyo uncle ni kaka wa mama yake demu.

Siku moja jamaa kazuka hostel kwa demu bila taarifa anakuta uncle nae yupo kapeleka mahitaji (hakuwahi kumuona kabla, zaidi ya kusikia akitajwa tu).
Cha ajabu jamaa anamuona mzee wake; kumbe uncle ni baba mzazi wa jamaa kwa maana sugar daddy (uncle) wa demu ni baba mzazi wa mshkaji.

Jamaa katoswa na demu akawa mama yake wa kambo.
Asee
 
Back
Top Bottom