Hii imekaaje?

wapalepale

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
259
56
Nashindwa kuelewa kwanini shule za serikali kwa upande wa advance wanafanya vizuri

lakini o'level wanavurunda!!!!! naombeni mawazo yenu wana jamii
 
It's a paradox! Majibu ya moja kwa moja ni vigumu kuyapata! Labda tuwaulize wanamaliza huko.
 
may b o'level wamerundikana sana so burden kwa mwl ni kubwa mno. Advance wanakua wachache easy to controj
 
Back
Top Bottom