Hii imekaaje??

255Gene

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
888
1,090
Heri ya pasaka kwa wanajf wenzangu wote.. Kilichonifanya hadi kuchapa bandiko hili ni juu ya tabia ya wale jamaa wakununa nuna yaani unakuta mtu mmekwaruzana kidogo tu badala ya kukaa chini na kuyamaliza myu ananunaaa na bahati mbaya tabia hii sio kwa wakinadada tu hata wanaume nao !! Hii tabia mimi huwa inashangaza sana na sanyingine huwa na shindwa kuelewa jinsi ya kuishi na watu wa namna hii ..
sasa wanawane kama kuna anaejua dawa ya watu wanamna hii anisaidiie
 
Back
Top Bottom