Haina shida kabisa ni wewe tu unapata taabu, zamani tulikuwa hatuvai kabisa nguo, kukaa uchi ni jadi ya Muafrika, yeye hakuwa na nia ya kujidhalilisha bali wewe uliyemleta hapa ndio unamdhalilisha!
Huko unakokuzungumzia tulishatoka zamani,kwani wewe huvai nguo??tembea uchi basi si ndiyo jadi ya Muafrika?.Hayo ni mawazo mgando usitetee ujinga.Dada zetu wanajidhalilisha wenyewe,wanapaswa kuliona hilo na wabadilike.