hii imekaaje!!

hii imekaaje!!

Hapo mineamini maana tumeona nyumba nyingi zisizo na kufuri, nadhani wanabana matumizi na kupata hewa nzuri.
 
Tafadhali bhana hiyo picha ya shemeji yetu, tumsitili kidogo. Lakini shemeji na wewe ilikuwaje mambo ya kaka ukayaweka hadharani hivyo? Au ndio sababu niliyowafanya muachane kwa kuwa ilikuwa haina mweyewe?
 
Duh, hata kama biashara ni matangazo hiyo sambusa angejaribu kuiwrap na tissue paper ili mteja awe anajiuliza "What next?". Sasa hivyo iko wazi imeshapigwa vumbi haifai tena kwa walaji!
 
Biashara ya Kondoo ni mkia!
attachment.php
 
Kwani huyu dada ni nani na anaimbia bendi gani???akitumbua alikiacha wazi bahati mbaya au makusudi?Hivi ni mke wa mtu kweli?
 
jamani huyu ni nani?:embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2:
 
Mmmmmmmh, naona alibana budget kwenye nguo ya kuvaa kwa stage that's y akavaa top peke yake. Lakn ameumbuka coz ki2mbua kiko wazi na kimepigwa na vumbi na labda kimeshaingia mchanga.
 
lazima mganga ndo anamwambia ukiimba uchi utavuta wateja zaidi.lakini pia yawezekana ni hii hali ya joto
 
Back
Top Bottom