Labda mimi sielewi! Sijawahi kusikia dunia hii kunanchi inatoza hela ya kutumia barabara au daraja, zaid ya kodi, fines. Hii ya daraja la kigambon kuja kulipia kila unapotumia/kupita mi naona haijakaa sawa. Kwan kodi tunazolipa zinafanya nn? Panton tunalipia sababu ya kulipia gharama za uendeshaji kama. Mafuta, spare nk. Sasa daraja tunatalipia kwa sababu gan? Jana nilikuwa nasikiliza BBC hadi mtangazaji akashangaa kusikia litakuwa la kulipia. Wana jf naomba mnieleweshe sababu ya kuja kulipia hilo daraja ni nn? Na je huo utaratibu kuna nchi nyingine unatumia? Na nin maana ya public goods?
Nawakilisha

mi cjakataa kuwa mshamba, ndio maana nikauliza ili mtu aliyetembea dunian kote kama wewe na mjuaji kama wewe uniambie. Tell me mr mjuaji, kwa hiyo nchi nyingine madaraja yanalipiwa? Wanalipaje? Kwa kila mtu au gar tu au inakuaje mr mjuaji?
Hi nchi tunakoelekea siko kabisa. Soon utaanza kusikia tunalipia njia tunazopita, hewa tunayovuta. Yaani ukikutwa pale posta unashangaa shangaa majengo ya vioo Yale, unalipia.
Sasa kama wajijua mshamba kwanini usiulize kwanza kabla ya ku draw conclusion?
Fanya research kwanza kabla ya kubwabwaja.
OTIS
Tatizo ni Raisi wetu kuwa Mkimya kama Kobe hajali kitu sababu yeye yupo salama kavikwa Gamba... Hili ni Tatizo kwa Idara Nyeti ya Serikali kama TRA yawezekana kuna mirija ya uvujishaji wa makusanyo ya Kodi yanaenda mifukoni mwa Watu wachache inasemakana kila mtu anakula ofisini kwakeKodi inayopotea kila mwaka ni karibia sawa na 25% ya bajeti ya serikali, kwa takwimu za mwaka jana ambazo zinaonyesha kwamba bajeti ya tanzania ilikuwa trilioni milioni 13.
Usipende vya bure.........daraja linajengwa na NSSF sasa michango yetu unataka irudi vipi?
Ni daraja gani na nchi gani wanalipia wananchi kupita.. naomba tafadhali nijifunze na mimi..
Mimi nadhani tupunguze siasa bandugu..NSSF wanafanya kitu kizuri..mradi huu umelenga kuchaji magari tu na sio wapita kwa miguu..hivyo, kwanza kabisa Wananchi wa hali ya chini watafaidika sana na wenye michango yao watafaidika kwa kuboreshewa pension zao as a result ya profits zitakazozalishwa bila kusahau Multiplier effects katika upande wa ajira zitakazotokana na daraja hilo. All the Best NSSF, am proud kwa mchango wangu kuwa sehemu ya maendeleo haya.