Hii imekaaje waungwana?

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,522
Reaction score
14,005
Niaje?

Wadau kuuliza sio ujinga.

Nimefanya utafiti kwa miaka mingi sana na kugundua wanawake wengi huwa wanafua nguo zao za ndani pindi tu wamalizapo kuoga na kuzianika hii iwe ameoga mtoni, ziwani, bafuni au chooni.

Swali langu:Je hufanya hivyo kama ni nia ya kutunza usafi au kauka nikuvae?

Inawezekana na wewe umeshuhudia,kama bado angalia wanawake wa jirani nawe, mimi nimeshuhudia haya kwenye nyumba za kupanga.

Nawasilisha.
 
Yani katika mambo yote ukaona ufanye kazi ya kukagua chu.pi za wapangaji wenzio!
 
ni usafi mkuu sehemu za mwanamke zi wazi na kunawakati kunatoka something na ikikaa sana inaweza leta harufu chumbani au sehemu ulipo weka,... kama mwanamke anatumia pant liner anaweza weka kwa mda fulani..... kingine mkuu ni usafi tuna machupi mengi ila sasakusema ukusanye unavaa asubuhi nyingine na wale usiku kwa wale wanaolala na pichu asante bye
 
Bahati mbaya, utafiti umeanza pindi nilipoanza kujitegemea na kupanga chumba,uswahilini na kuona wanawake wengi wakianika CHU.I kwenye kamba. Sina nia mbaya,hili ni jiwe la gizani litakalompata,anisamehe.!


Kama ulianzia nyumbani kwenu huu utafiti, watake radhi mama na dada zako.
 

Utafiti umeufanya kwa miaka mingi lakini umeishia ku-formulate hypothesis tu.

Mkuu we endelea kutafiti maana ulipofikia SI pabaya Sana.
Na njia nzuri ya kukusanya data ni hiyo hiyo uliyoitumia awali(observation).

Mambo ya madodoso mtandaonni yatakupeleka kwenye wrong conclusion.
 
Iwe ama kwa usafi au kauka nikuvae we inakuhusu nini????? Umekosa kazi ya kufanya mpk uangalie nani kavaa chupi gani akaifua???
 
Nataka kufungua kiwanda cha chupi,hivyo nafanya utafiti wa masoko.

Iwe ama kwa usafi au kauka nikuvae we inakuhusu nini????? Umekosa kazi ya kufanya mpk uangalie nani kavaa chupi gani akaifua???
 
Ni ngumu kumuuliza mke au dada wa mtu suala la chupi,ila kupitia jukwaa kama MMU,naweza kupata kitu cha maana.

Ingekua vizuri zaidi kama ungewauliza hao unaowaona wamezianika ndhani wangekupa majibu sahihi
 
Uliwachunguza wanawake wangapi? Na wana sifa zipi katika makundi ya umri, kazi,makazi, kabila, hali ya ndoa nk? Ukifanikiwa kutoa takwimu hizo za hao wanawake utaweza kujua baadhi ya sababu za wao kufanya hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…