Hii imekaaje wapendwa

Dah Dena my dia naona kama unanisema mie hivi hahha hahha bas bwana mie ilikuwa bday yangu jamaa nilie nae kifupi alisahau kila kitu wala sikumkumbusha Mungu mkubwa ila Ex alikumbuka kila kitu ,,! Kilichoendelea ni history :smash::smash::smash:

Pole Maria lakini unaionaje hii
 
Mhh!!!

Mimi naomba niulize, huyo mme wa huyo dada aliyeandaa sherehe naye alikuwepo??? Ninavyojua wanaume walivyo na wivu,,,,yaani anakuruhusu umwandalie ex wako sherehe???!!! mhhh...hapo napata maswali!!!

Hakuwepo hata mimi niliuliza akasema hayupo nchini kwa almost three month
 
Huyo mke naye alikuwepo tu hapo anakenua meno? mie nisingekubali miaka mia mbili, labda wafanye kisirisiri.lazima kuna kitu behind this. kwani we dena hukuona sign yeyote?

Mimi sikuona sign yoyote na huyu muaandaaji wala hakuwa karibu kabisa na meza kuu yeye alikuwa busy na vyakula na vinywaji kwa wageni huyu mama mwingine ndo alikuwa anahudumia meza kuu. May be mume wake hakumwambia aliyeandaa?? Sikuuliza sana maana unaweza kuambiwa umbea bure ukaharibu na sherehe za watu. ila mimi nilipata msituko kidogo haaa
 
Kama karuhusu EX afanyiwe Birthday party, je, ni mengine yapi ambayo anaweza kumruhusu mumewe amfanyie ex wake? Hapa kuna utata mkubwa tu ambao si ajabu hata DA sidhani kama anaujua undani wake.

Hasa hata mimi nina kizunguzungu katika hili sijui nini kinaendelea
 
Haya ya kufanyiana party (tena akiwa bwana hayupo) naona wamevuka mpaka kidogo, na siku akirejea pataruka kivumbi hapo. Lakini katika hali ya kawaida hakuna sababu watu wakishatenga ndio urafiki na maelewano yameisha. Ikiwa uhusiano wa mwanzo ulijengwa juu ya urafiki, kuvunjika kwake kamwe hakuwezi kuvunja misingi ya urafiki.
 
Yes...hapa kuna maswali mengi sana...nafikiri hata Dena hawezi kuyajibu!

Kweli kabisa maana sikuuliza sana kwa undani nini kinaendelea na wala sikijui. Ila swali langu bado liko pale pale hii imekaaje jamani ni sawa kweli??
 
Mmmmmh na huu wivu nilionao sijui kama nitamwelewa huyo mwanauma. Ati my Ex ananiandalia sherehe ya besdei, jiandae twende....Mmmmmmh labda kama wanaishi ya maisha ya Ndio baba tutakwenda.....!!!!!!!
 
Mmmmmh na huu wivu nilionao sijui kama nitamwelewa huyo mwanauma. Ati my Ex ananiandalia sherehe ya besdei, jiandae twende....Mmmmmmh labda kama wanaishi ya maisha ya Ndio baba tutakwenda.....!!!!!!!

Kweli ngumu aisee mimi nahisi kama yule mama alikuwa hafahamu maana alikuwa happy tu. Au sijui lakini kuna kitu gani kiko ndani hapo maana hata mie siwezi kabisa
 
mmmmmhhhhh!!!!!!!! mi ningepewa talaka siku hiyo hiyo nikawa xwife wake,,heehehhe loool!!!
Kweli ngumu aisee mimi nahisi kama yule mama alikuwa hafahamu maana alikuwa happy tu. Au sijui lakini kuna kitu gani kiko ndani hapo maana hata mie siwezi kabisa
 
Duh, hii kali.. lakini imeonyesha uungwana kwa watu walioachana kistaarabu bila kutupiana mayai mabovu.. changamoto ni kwa huyo mke wake, awe serious ataibiwa!

Aibiwe mara ngapi mkuu?

Mke wangu amfanyie bithday party Ex wake?...............Lazima ndoa ivunjike, Haki ya Mungu nakuapia!
 
Aibiwe mara ngapi mkuu?

Mke wangu amfanyie bithday party Ex wake?...............Lazima ndoa ivunjike, Haki ya Mungu nakuapia!

Duh nilikuwa sijawahi kukuona ukiongea hivi!!! Pole nambie basi hii ni haki kweli??
 
Duh nilikuwa sijawahi kukuona ukiongea hivi!!! Pole nambie basi hii ni haki kweli??

Aisee siyo haki hata kidogo....

Kama mnafanya mambo na Ex wako, hakikisha uliye naye hajui. Japo ni dhambi lakini ni afadhali kutenda dhambi sirini kuliko hadharani. Mimi babu yenu ODM nimefadhaika sana! Haki ya Mungu tena!
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom