Hiyo kama kweli vile
Shauri yako. "Ukila na kipofu, ............!"
Hiyo kama kweli vile
Nzuri sana Elia,
Kweli kabisa maana mie nilibaki na mshangao sana hata sikufaidi sherehe maana nilibaki namwangalia maza hausi kila anachotenda ni kabaki nastaajabu tu maana mie lazima ningeuliza nani kaandaa na imekuwaje na maswali meeengi mengi tu nadhani hata majibu angeyakosa. na mwisho NINGEONDOKA ENEO LA TUKIO

Tatizo la wanawake kuzoea kufanyiwa kila kitu bila kumuuliza mzee iko vipi? ndicho kilichomfanya maza house afurahie good tymes bila kujua source
Ha ha ha ha Fidel bana kwahiyo na wewe tukikutana tunakumbushia kwa kwenda mbele sio??? Wewe acha hizo hebu leta mambo hapa acha kuweka msitari mmoja na kukimbia
Huyu mama nilivyomuangalia kama mjanja fulani hivi lakini inawezekana mjaa mkorofi ndani kamuamlisha tu twende kwenye birthday yangu kuna rafiki yangu kanialika. na yeye kaenda tu hana a wala b
Huyu mama nilivyomuangalia kama mjanja fulani hivi lakini inawezekana mjaa mkorofi ndani kamuamlisha tu twende kwenye birthday yangu kuna rafiki yangu kanialika. na yeye kaenda tu hana a wala b
Mi tunaendeleza mpaka uzeeni swala ni kwamba mahawala huwa hawaachani kamwe labda uwe umechoka
Hapo ndio mwanzo wa kuanza kukumbushia...
Ashukuru mungu aliambiwa na yeye aende maana next time atakumbuka kumuandalia mumewe birthday party au hata kumualika chakula cha jioni kama hela ya kuandaa party hatakua nayo, mwingine ndio hata asingeambiwa mwanaume angejiondokea kimya kimya kujirudia usiku amelewa
Hapo kwenye valuu ndo panapoharibu mambo kabisa