Hii imekaaje wadau

[emoji23][emoji23]mbona mkuu kama una majibu yako kichwani?
Yaweke hapa tujadili
 
Ni jambo la kawaida sana ktk maisha kuna mtu mnawezakua wakat mnasoma hamkuwai kua karibu kbs lakn baada ya masomo unaweza kutana mtaani mkawa marafk wakubwa mpk ukajiuliza why didn't I knew you earlier
 
Mh! Fire baby....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yeya ni jinsia gani,tuanzie hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni mtu wa chadema piga chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…