Hii imekaaje wadau


Hamna nipo simple tu,mwili wa kawaida mrefu sio wa gym,sijui anakaa Wapi ila itakuwa ushuani maana picha zake huwa naona ni za maeneo ya kishua so sio wa buza


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Acha mawazo potofu. Mwambie mbona tushakuwa marafiki

Sio mawazo potofu mimi sijazoea urafiki wa kuomba marafiki zangu wote huwa inakuja automatically sio wakuombwa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Muulize urafiki wa aina gani? Tumvumilie jamani atoe jibu kwanza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Muulize urafiki wa aina gani? Tumvumilie jamani atoe jibu kwanza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwani kuna urafiki gani mwingine si labda kuwa washkaji tu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwamba jamaa labda shoga😂😂
Ingekuwa jinsia tofauti sawa, jinsia moja kuomba urafiki hii haijakaa poa.
 
Wewe una nafuu sana. Mimi wiki jana kuna jamaa niliweka tangazo Telegram kwenye group nilikuwa nataka kununua kitu flani. Akaja jamaa tukachat tu na nimemzoea kule group maana ni la biashara na michongo. Akanitaka namba nikampa, alikaa siku kama mbili hajanicheki.

Alinitafuta kwa mbwembwe nyingi, nikauliza we nani akajibu eti "ex wako" mi nikaangalia uandishi unakataa kuja kwenye rekodi maana sijawahi date na kilaza afu maex wangu wawili pekee na nawasiliana nao. Nikakataa kabisa.

Badae kwa emoji za kucheka akanambia mi flani, nikablock na kufuta convo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…