Kawaida tu, mkubalie awe rfk yako. Rafiki wa karibu ambaye mtakuwa mnasaidia ktk shida ma raha. Nahs ndivyo anavyomaanisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kawaida tu, mkubalie awe rfk yako. Rafiki wa karibu ambaye mtakuwa mnasaidia ktk shida ma raha. Nahs ndivyo anavyomaanisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Are you thinking what am thinking??Mbna naona kama fikra zako zmeenda sawa na zangu zilipoenda?!
Sema mkubalie kama unahitaji awe friend wako the rest atakuambia yeye kama yapo
Kile chuo kikuu kile kile kinapatikana iringa mkuu....Chuo gani Mkuu?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Basi mkuu..kama sio hicho mpe benefit of dout..labda mshkaji anamaanisha urafiki wa kawaida.Aaaanh hapana sio hicho ni Udsm
Sent from my iPhone using JamiiForums
Na mimi nimeanza kufikiria hivyo 🙊
Wadau kwa nnavyoelewa mimi ni rahisi kwa jinsia tofauti kuombana urafiki kama unahitaji atention ya mtu. *Kwa jinsia tofauti nakazia*Habari za muda humu,I hope mko poa sana.Ebana kuna kitu nataka ni share nanyi humu ndani,je unaweza kumuomba mtu urafiki?.Story ipo hivi kuna jamaa nilisoma nae chuo tulikuwa japo course tofauti hatukuwa tunafahamiana sana by that time just ni mtu nilikuwa na muona tu kama chuomates wangine sasa tulivyomaliza chuo kama wiki kadhaa hivi nikaonana nae mahali nikamsalimia because sura haikuwa ngeni sana tukapiga story mbili tatu za chuo basi na akaniuliza jina langu nikamwambia naitwa John,baada ya pale sikuonana nae kitambo tu kama mwezi hivi as chuo tulikuwa tushaondika siku moja text ikaingia whatsapp akajitambulisha mimi flani nikamwambia tuma picha nikuone akatuma nikamkumbuka nikasave namba yake sasa baada ya hapo akawa anacheki status zangu na mie pia hivyo as kama washikaji sasa siku moja katika kuchati akasema anapenda niwe rafiki yake hiyo kauli sikuielewa maana siyo jambo la kawaida mtu kukuomba urafiki as urafiki unakuja tu automatically so hii inakuaje wadau?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ha ha ha ha Roho ya kishetan anakutembelea Depal....Na mimi nimeanza kufikiria hivyo [emoji87]
Definetly[emoji23][emoji23]
Jamaa akatae tu Kibingwa hii friend requestDefinetly[emoji23][emoji23]
Hapa ss choice yake