Walah mkuu unanyota ya utajiri. Wenzio tukipata hela ndio nyeg..e zinakuwa taslimu ila hela ikiisha dushe inakausha kama haipo.
Subiri utimize malengo yako ndio uone la kufanya.
Sasa upuuzi gani hapo nimefiria. Tatzo hujaelewa muktadha wa hoja yangu. Sio kila time unawaza vitu serious tu lazma uwe na leasure time kuwaza mambo ya kuburudiaha nafsi otherwise ndio mnageuka machiz nyie. Asubuh mpaka jion unalalamika vyuma vimekaza kama hamna hoja zngne za maisha.
Mimi nikiwa sina hela ndiyo ninakula na cravings za nyama Choma, supu ya ulimi, mtori, KFC, Subway. Nikita na laki kwenye walet hata Dina maharage na maji ya uhai poa vinashuka
sema yangu ni tofauti ila kama yako mimi nikiwa sina pesa akili inakuwa inasoma vizuri nawaza vyema ilala sasa siku nikipata mipango yote nasahau kabisa mpaka pesa iishe