choupa moting
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 1,508
- 2,577
Wewe ni mgonjwa nenda kamuone daktari. Unapata vipi 'appetite' wakati huna hela?Habarini za jion? Mimi ni kijana ambaye naish maisha yangu mwenyewe maana bado sijaoa, nina tatizo moja ambalo kwa muda mrefu nimekua nikiliona ktk maisha yangu toka nimeanza kujitegemea. Yaan nikiwa sina hela nakua na hamu sana na mwanamke kiasi kwamba ntanyegeka kwel kweli sasa kivumbi kinakuja nikiwa na hela yaan mzee mzima anatulia ndan hata hasomeki, Hisia znapotea. Inafika time mpaka najikagua “hiv kweli nina hisia”
Hii hali inatokana na nini wadau.
unamfundisha tabia mbayaMkuu hiyo hali ikitokea tena fanya hivi chukua sabun ingia bafun fanya yako then sepa na mchezo utakuwa umeishia hapo
BOY FROM LONDON
Hahahahaha nimetamani ungekuwa Mume wangu.
Akuuu ungenirahisishia kazi ya kukulinda
Hahahahaha nimetamani ungekuwa Mume wangu.
Akuuu ungenirahisishia kazi ya kukulinda
Sana Nokia83 tarehe 40 ikifika huwa hashikikiInaelekea unapata tabu sn kumlinda mumeo
Ndiyo Mimi nashikikaWw unashikika?!
Vzr sn isije kuwa ikiwa tarehe 13 naww unakuwa hupatikani chumbaniNdiyo Mimi nashikika
Hapana Mimi ni mke ninayejua majukumu yangu kama mke na kuyatenda katika muda muafaka.Vzr sn isije kuwa ikiwa tarehe 13 naww unakuwa hupatikani chumbani
Yule jamaa nakuonaga nae pale magorofani ni nani?Hapana Mimi ni mke ninayejua majukumu yangu kama mke na kuyatenda katika muda muafaka.
Pia ninayeiheshimu ndoa yangu na familia yangu
anaeongea ivo utakuta anakaa kwao afu muamga anakaa kwake[emoji38]Amka kijana acha kuifanya Akili yako ifikilie upuuzi mda wote, mda unakwenda huo amka kijana.
Ni sumbaiYule jamaa nakuonaga nae pale magorofani ni nani?