Hii imekaaje? Ushauri unahitajika

mh kweli huyu mwanaume hajielewi kabisa..hata majukumu yake hayajui? hata kama mama anauwezo wa kuitunza familia kwa mlo angalao.bas ashirikiane nae...inawezekana si akili yake amchunguze.vyema..
 
Muombee tuu atabadilika. Mungu ni mwema sana...
 
mh kweli huyu mwanaume hajielewi kabisa..hata majukumu yake hayajui? hata kama mama anauwezo wa kuitunza familia kwa mlo angalao.bas ashirikiane nae...inawezekana si akili yake amchunguze.vyema..

Binafsi nashawishika kuamini kuwa inawezekana jamaa kuna sehemu kaingia kapato doze ya limbwata.

Shida nyingine ninayoiona hapo ni kuwa, nyumba wanayokaa kajenga mke tena kwa mikopo. Nadhani anafikiria akimuacha baba katika nyumba hiyo na kuondoka na watoto ataenda kuanza moja.
 
key word ni 'utegemezi wa hisia'. kila siku najitahidi kujikomboa na hili:A S 13:
 
hahahaha, ngoja nianze ule ushauri wangu wa kijambazi.
Muambie anunue kiwanja, then auze hiyo nyumba hahaha. asake pa kupanga while anajenga. siku ya kuhama wala asimuambie lol.

hivi mjini ukitaka kumkimbia mtu unahitaji msuli na mapafu ya bolt?
 
Hili nalo neno. Ujumbe umefika.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…