bahati mbaya
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 578
- 193
Wanawake nyie mna tatizo kubwa sana la utegemezi wa hisia,hili ndili linawafanya mnafujwa kila uchaoEiyer na Arushaone, wanawake sie viumbe wa ajabu sana. Yaani unakuta kuna mwanamke, anapigwa kila siku na mumewe, cheatings ni serial kama marichui. Ila siku unagundua kumbe mwanaume hachangii ada wala msosi wala maziwa ya mtoto, unabaki kujiuliza alibakia hapo akingojea nini? Huwezi nishawishi hata soul food unaenjoy na mtu ambae unatumia mbinu za msituni kuhakikisha hali ubwabwa wako ulionunua.
Nakubaliana nanyi, ila kabla ya kuhama inabidi wakubaliane na pengine kumhusisha mtu mzima wa karibu. Kusudi huyo bwana asije akadai mke wangu kahama home kwa sababu ana kidumu. Dawa ya huyo mwanaume ni kumtimua yeye, wala sio kuhama. Manake anakuja kulala tu, akasake kitanda kwingine. Ila mkewe sina hakika kama atakubaliana na hilo aisee.
Eiyer na Arushaone, wanawake sie viumbe wa ajabu sana. Yaani unakuta kuna mwanamke, anapigwa kila siku na mumewe, cheatings ni serial kama marichui. Ila siku unagundua kumbe mwanaume hachangii ada wala msosi wala maziwa ya mtoto, unabaki kujiuliza alibakia hapo akingojea nini? Huwezi nishawishi hata soul food unaenjoy na mtu ambae unatumia mbinu za msituni kuhakikisha hali ubwabwa wako ulionunua.
Nakubaliana nanyi, ila kabla ya kuhama inabidi wakubaliane na pengine kumhusisha mtu mzima wa karibu. Kusudi huyo bwana asije akadai mke wangu kahama home kwa sababu ana kidumu. Dawa ya huyo mwanaume ni kumtimua yeye, wala sio kuhama. Manake anakuja kulala tu, akasake kitanda kwingine. Ila mkewe sina hakika kama atakubaliana na hilo aisee.
Kuna jirani zangu karibu na maeneo ninayoishi, mwanaume hawajibiki katika familia, ulipoonza mwaka huu mwanamama akamwambia mme kuwa mwaka mpya na mambo mapya.
Mkuu hapa unahitajika ushauri gani wakati inaonesha hao wanandoa wamepanga na kuamua kuishi hivyo...!!!
Au wamekutonya kuwa kwao hayo maisha wanaona yana kero?
Siyo kuwa wamepanga mama wa watu kachoka na aina hiyo ya maisha ndiyo maana amejaribu kubadili mbinu ili aone kama jamaa atajitambua, kumbe ndiyo anazidi kuongeza matatizo.
Amekaa na mumewe kutafuta suluhu ya jambo hilo?
Wameishapita njia nyingi sana, Wasimamizi wa ndoa, Serikali za mitaa na Kanisani, Jamaa anaonekana kutojitambua kabisa maana kuna kikao kimoja cha usuluhishi aliwahi mwambia mke wake kuwa wewe unawezo wa kuhudumia familia? nikiondoka kwa wiki moja utaweza mudu huduma? wakati ukweli anaujua. Pia ana maneno ya kashifa sana pale wanapogombana na mkewe. Maana akianza matusi anatukana ukoo mzima wakati yeye yupoyupo tu bila msaada wowote katika familia.
Imefikia ikitokea akasafiri watoto wanafurahi maana akiwepo ni kero na vitisho hata kwa watoto ili kujenga Defence mechanism.
huendo ndo maisha yao
si amuache?Angekuwa anafurahia/kubaliana na maisha hayo nadhani hasingeweka mambo yao adharani.