Hii imekaaje kwa wanandoa?

Nikiangalia hiyo ndoa yenu dizain kama mmesha zoeana kila moja anatingisha kiberiti kama mdau alivyo sema pale juu kuwa inaonekana nyie siyo marafiki ... kuna vitu vingi sana vina miss .... lakini ndo maisha .... ushauri wangu anza kujifunza kujishusha ... kuna kitu kizuri utakitengeneza kwa faida ya badaye kwasabu silaha kubwa kwa mwanamke ni kujishusha sisi boys tunajijua
 
Hii imekuaje japo mapenzi hayana ratiba maalum. Je hii ni Sawa?

Inakuaje inapofika usiku mmesambaa kwenda kulala mwanaume anabaki seblen aither kuchati na cm au kuangalia zake tv.

Mwanamke kutokana na pilika za kazi + za nyumban, watoto unaingia kulala dakika 10 tu usingiz ushakupitia tena mzito

Jamaa anakuja kulala saa 7 au 8 anataka mfanye mapenz sa hiyo umelala kama umekufa yan hii ni Sawa jmn?

Kwann tusije wote kulala tuandaane vizuri tufurahie tendo?

Kwann uje kulala saa 7 au 8
Njoo pm tuyajenge
 
Mimi ni Liverpool lakini nahisi jamaa yako atakuwa mshabiki wa Real Madrid .. angekuwa Liverpool asingepata hilo wazo aisee
 
Hii imekuaje japo mapenzi hayana ratiba maalum. Je hii ni Sawa?

Inakuaje inapofika usiku mmesambaa kwenda kulala mwanaume anabaki seblen aither kuchati na cm au kuangalia zake tv.

Mwanamke kutokana na pilika za kazi + za nyumban, watoto unaingia kulala dakika 10 tu usingiz ushakupitia tena mzito

Jamaa anakuja kulala saa 7 au 8 anataka mfanye mapenz sa hiyo umelala kama umekufa yan hii ni Sawa jmn?

Kwann tusije wote kulala tuandaane vizuri tufurahie tendo?

Kwann uje kulala saa 7 au 8
Mimi nasema sio sawa kabisa anavyofanya huyo mumeo
kimsingi anatakiwa awahi tu mara ukienda kulala na akitaka arudi kuendelea na mambo yake baada ya kutimiza haja au pengine asubirie hadi mapema asubuhi (alfajiri) ila hiyo ya saa nane usiku ni too much!
Vijana wengi wanajibu tu bila uzoefu wa maisha.....
Yale mafunzo ya zamani kuwa mwanamke kazi yake ni kutoa huduma muda wowote yanaenda yakipitwa na wakati kwa sababu wale wanawake wa zamani ilikuwa kazi yao ni kukaa nyumbani tu kulea ILA siku hizi wanawake wanatoka/wanafanya kazi na wakati mwingine wanafanya kazi ngumu haswa, hivyo ukichanganya na majukumu ya nyumbani ya jioni wanachoka. Kama tunapenda watusaidie kipato, tuheshimu pia na hisia zao!!!
 
Mimi nasema sio sawa kabisa anavyofanya huyo mumeo
kimsingi anatakiwa awahi tu mara ukienda kulala na akitaka arudi kuendelea na mambo yake baada ya kutimiza haja au pengine asubirie hadi mapema asubuhi (alfajiri) ila hiyo ya saa nane usiku ni too much!
Vijana wengi wanajibu tu bila uzoefu wa maisha.....
Yale mafunzo ya zamani kuwa mwanamke kazi yake ni kutoa huduma muda wowote yanaenda yakipitwa na wakati kwa sababu wale wanawake wa zamani ilikuwa kazi yao ni kukaa nyumbani tu kulea ILA siku hizi wanawake wanatoka/wanafanya kazi na wakati mwingine wanafanya kazi ngumu haswa, hivyo ukichanganya ma majukumu ya nyumbani ya jioni wanachoka. Kama tunapenda watusaidia kipato, tuheshimu pia na hisia zao!!!
I agree
 
Mkuu umeongea kwa uchungu hoja yako nimeielewa sana .
 
Hadi umenisisimua
Asikwambie mtu zile show tamu, hasa uwe umelala msafi umeoga, umeswaki....na kile kibaridi halafu unapapaswa na kitu cha motoooo, plus kiusingizi.....unajifanya Kama hutaki huku unataka...🤣
 
Hii imekuaje japo mapenzi hayana ratiba maalum. Je hii ni Sawa?

Inakuaje inapofika usiku mmesambaa kwenda kulala mwanaume anabaki seblen aither kuchati na cm au kuangalia zake tv.

Mwanamke kutokana na pilika za kazi + za nyumban, watoto unaingia kulala dakika 10 tu usingiz ushakupitia tena mzito

Jamaa anakuja kulala saa 7 au 8 anataka mfanye mapenz sa hiyo umelala kama umekufa yan hii ni Sawa jmn?

Kwann tusije wote kulala tuandaane vizuri tufurahie tendo?

Kwann uje kulala saa 7 au 8
"Ukiolewa sharti usilale na nguo"

Vita ni wakati wowote tu
 
Kwa sababu mngelikuwa mnaishi kinyume na ulivyosimulia hapa...

Kwa wapendanao maandalizi ya 'sex' huanza muda mrefu, na sio kudandiana tu usiku...

Sukariiiii ya wareeembooooo....!!! 😜😜

Salamu kwa Msafiri.
 
Back
Top Bottom