Hii imekaaje? au ndio Vita vya Ufisadi ni Vigumu?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii imekaaje? au ndio Vita vya Ufisadi ni Vigumu?!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Arafat, Mar 16, 2011.

 1. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Wakuu hii sijaielewa: -

  1. Huyu JF member mmoja jina lipo humu Jamvini

   JF Premium Member
   Join Date : 26th February 2011
   Location : The Second House on the Left
   Posts : 162
   Thanks 5
   Thanked 32 Times in 28 Posts
   Rep Power : 21

  2. Na huyu ni Member mwingine

  JF Senior Expert Member
  Join Date : 18th October 2010
  Posts : 531
  Thanks 75
  Thanked 279 Times in 131 Posts
  Rep Power : 22


  Ebu angalia membership zao nimeshindwa kujua maana ya Senior Expert Member na Premium Member na vigezo husika au Ufisadi hauna Mipaka!
   
 2. Scientist

  Scientist JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2011
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nadhani unakuwa premium km utachangia kiasi flani cha fedha kuendeleza uwepo wa hili jamvi.. vinginevyo utaishia kubaki senior expert member etc etc
   
 3. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,143
  Trophy Points: 280
  Hivi hili neno ufisadi mnajuwa kama limetokana na Kiarabu, kama vile neno Dar Es Salaam, Tanganyika (ambalo nyerere alishasema hajui limetoka wapi) ?
   
 4. Click_and_go

  Click_and_go JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 451
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Changia na wewe uwe premium member!!!!
   
 5. kisu

  kisu JF-Expert Member

  #5
  Mar 17, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 802
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Sasa U Premium member unatofauti gani na Senior Expert??
   
 6. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #6
  Mar 17, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  KUMBE WEWE UNATAFUTA SIFA HUMU? mara senior mara premium mara nini. for me I do not care, kwani kinachohitajika humu ni michango yako yenye tija na si sifa. Anyway nikawaida yenu kutafuta sifa. endeleeni. MODs, please kama kuna uwezekano huyu mtu mpeni kile cheo cha juu kabisa ili awe na furaha ya kutosha.
   
Loading...