Unafahamu kuhusu mauaji ya Soweto na lugha ya kiafrikana? That was oppressive language na kwa kuwa lugha ya makaburu ifahamu historia.
Kuchoma university ni alert juu ya ubaguzi unaondelea SA. Tofauti ya utabaka ni hali ya juu..blacks are absolute poor and ignorant na ni matokeo ya ubaguzi wa rangi. Labda colored watafurahi ila hao weusi bora English kuliko Afrikana..it is more than apartheid scurs in the mind of oppressed revolutionaries.
Lugha ya Kiafrikaans inawakumbusha machungu mengi waliofanyiwa kipindi cha ubaguzi wa rangi wa kiwango cha juu kabisa nchini mwao. Hii sio issue ya logic iko zaidi psychologically.
English haionwi hivyo. Ni lugha ya dunia tayari. Hata wazungu wenyewe hawaoni tena kama ya kwao.
Nadhani hata wewe ungekuwa SA ungewaza kama hawa college students.
Kama sisi tu japo ni kweli tulitawaliwa na waingereza na ccm ila bora waingereza tuMkuu...katika historia ya SA, Serikali ya Africaans (Makaburu) ndo walianzisha mfumo wa Aparthied ambao waafrika walinyanyaswa sana.....kiufupu, ingawa weusi walitawaliwa na waingereza as well as makaburu, ila ni waingereza walikuwa na afadhali sana
Yaani Wewe ndiye wamekupa #5 kwenye "Group of 46" wakati huna ulijualo!! Rudia tena... Umesema mfumo wa "Apartheid" ulianzishwa na Waingereza??Waingereza ndiyo waanzilishi wa Apartheid AK kupitia watu kama akina Cecil Rhodes ambayo walipeleka Apartheid mpaka Rhodesia (Zimbabwe) na Namibia,
Mkuu...tanzania tulishapata ukombozi...ama kweli Benja hakukosea alivyowaita malofa na wapumbavuKama sisi tu japo ni kweli tulitawaliwa na waingereza na ccm ila bora waingereza tu
Mkuu...katika historia ya SA, Serikali ya Africaans (Makaburu) ndo walianzisha mfumo wa Aparthied ambao waafrika walinyanyaswa sana.....kiufupu, ingawa weusi walitawaliwa na waingereza as well as makaburu, ila ni waingereza walikuwa na afadhali sana
Yaani Wewe ndiye wamekupa #5 kwenye "Group of 46" wakati huna ulijualo!! Rudia tena... Umesema mfumo wa "Apartheid" ulianzishwa na Waingereza??
Acha blah blah zako wewe, "Apartheid" imeanza mwaka 1948 hadi 1994 wakait Cecil Rhodes alikufa mwaka 1902. Kama kila ubaguzi unauita "Apartheid" basi hata Ubaguzi unaoendelea huko Marekani kwa Wazungu kuwabagua waafrika wewe na mfanano wako na yule "Kibajaji" wenu basi uite ubaguzi huo 'Apartheid" kama watu wenye kujua watakuelewa!Basi labda haujailewa Historia ya AK vizuri, Apartheid haikuanzishwa na makaburu bali Apartheid ingawaje neno Apertheid ni la Kiafrikaans ilianzishwa na Waingereza
Mkuu ki afrikaan kinawakumbusha machungu ya ubaguziBinafsi sielewi na bado sijawahi kuielewa reasoning yetu Waafrika hata siku moja. Huko nchini AK kumezuka fujo kubwa iliyopelekea wanafunzi kuchoma na kuharibu Miundo mbinu ya Chuo Kikuu wanachosomea, sasa kisa ni nini?
Ni kwamba Wanafunzi Waafrika (weusi) hawataki kufundishwa kwa lugha ya Kiafrikaans ambayo ni lugha rasmi ya Makaburu wanasema kwamba ni lugha ya Kikoloni na ya ukandamizaji na wanataka Vyuo vyao vifundishwe kwa kutumia Kiingereza, hapo ndipo nilipochoka ningeelewa kama wangegoma kufundishwa Kiafrikans na kutaka wafundishwe Kizulu, Xhosa , Kitwsana au hata Kiswahili kama shida ni lugha ya Kikoloni lkn wanataka Kiingereza sasa Kiingereza ni lugha ya nani?
Unakataaje Kiafrikaans kwa kigezo kwamba ya Kikoloni halafu unataka Kiingereza?
Inanikumbusha Raisi Kagame wa Rwanda alipoondoa Kifaransa kama Lugha ya Taifa na kuweka Kiingereza kwa nini asingeweka Kirundi/Kinyarwanda? Au Raisi Mugabe wa Zimbambwe anatukana Wazungu na kuwakebehi lkn kwa Kiingereza na nchi yake anatumia Kiingereza kwa nini siyo Kishona?
Kwa mambo kama haya Waafrika hatuwezi kuheshika Duniani kamwe kwani watu wa nje wanatuona hatuna akili, Dunia nzima binadamu hufanya Mapinduzi na kuweka lugha zao sasa tuko tayari kuharibu Miundo mbinu yetu kupigania Kiingereza, sasa Kiingereza kina tofauti gani na Kiafrikaans? Zote si ni lugha za Kikoloni pia!
Hata hapa nyumbani watu wengi wanaona na kuamini kwamba Kiswahili chetu ndiyo adui wa Maendeleo yetu nina uhakika ukifanya kura ya maoni ya kama Kiswahili kifutwe TanZania na kuwekwa Kiingereza au Kifaransa au hata Kireno zaidi ya asilimia 60 wataataka Kiswahili chetu kifutwe, na kama siyo kuwa Sera ya CCM Kiswahili kingekuwa kimeshafutwa kwani kwenye manifesto ya chadema walikwishakiondoa na kubakia somo tu!
Hii ni Afrika kwetu tu hakuna sehemu nyingine Duniani kuna binadamu wa aina kama yetu!
Hata Afrika Kaskazini hawako hivyo Gadafi mpaka anakufa anaongea Lugha yake!
Chini ni Uharibifu uliofanywa na Wanafunzi kwa kuchoma majengo ya Chuo chao kupinga Kiafrikaans na kutaka Kiingereza!
SABC News - UP student’s Afrikaans protest grows:Friday 19 February 2016
Acha blah blah zako wewe, Apartheid imeanza mwaka 1948 hadi 1994 wakait Cecil Rhodes alikufa mwaka 1902. Kama kila ubaguzi unauita Apartheid basi hata Ubaguzi unaoendelea huko Marekani kwa Wazungu kuwabagua waafrika wewe na mfanano wako na yule "Kibajaji" wenu basi uite ubaguzi huo Apartheid kama watu wenye kujua watakuelewa!
Unamaanisha kuwa kila ubaguzi ni Apartheid?Ndugu, Apartheid haijaanzia 1948, soma historia tena Apartheid imeanzia AK tangu ujio wa Waingereza huko AK miaka ya 1800, jaribu tena kusoma Historia kwani siwezi kukufanyia hilo, na kama una swali ndiyo uulize na siyo kubisha kumbe hauna uelewa mzuri!
Mkuu ki afrikaan kinawakumbusha machungu ya ubaguzi
kufundisha kiafrikaan ni sawa na kuendeleza ubaguzi
Kiafrikaan kinazungumzwa afrika kusini tu,na baadhi ya makaburu kwa kuendeleza sera ya kikaburu wameanzisha shule zao kuenzi kiafrikaan.
Tupa kule hiyo lugha
Unamaanisha kuwa kila ubaguzi ni Apartheid?
Apartheid si neno tu bali ni mfumo wa kibaguzi uliopewa jina hilo. Mfumo huo haukuanzishwa na waingereza na ndiyo maana kuna wakati maalum wa kuanza na kumalizika, kuwa ni kuanzia mwaka 1948 hadi mwaka 1994. Unajua ni kwa nini wanasema ulianza mwaka 1948?Apartheid tu ni neno lililokuja baadaye...