Hii imekaa vizuri sana.

Hii imekaa vizuri sana.

GwaB

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2014
Posts
5,222
Reaction score
7,075
Mara nyingi nimekuwa nikijiuliza kitu kinachowasukuma dada zetu,wa kitanzania kutojikubali walivyoumbwa na badala yake kujiongeza kwa kuvaa mawigi kujichubua na mengi mengineo.

Siku zote nimekuwa nikiamini kuwa dada zetu wakiwekeza kwenye uzuri wao wa asili wanaweza kutia msukosuko dunia nzima..

Screenshot_2018-09-08 Twitter.png
Picha hii ni ushahidi na naiweka hapa sio kwa nia ya kumdharirisha mtu isipokuwa nimeipenda, na natoa pongezi kwa Air Tanzania kwa kufanyia kazi maoni ya wadau.
 
Mara nyingi nimekuwa nikijiuliza kitu kinachowasukuma dada zetu,wa kitanzania kutojikubali walivyoumbwa na badala yake kujiongeza kwa kuvaa mawigi kujichubua na mengi mengineo.

Siku zote nimekuwa nikiamini kuwa dada zetu wakiwekeza kwenye uzuri wao wa asili wanaweza kutia msukosuko dunia nzima..

View attachment 860606Picha hii ni ushahidi na naiweka hapa sio kwa nia ya kumdharirisha mtu isipokuwa nimeipenda, na natoa pongezi kwa Air Tanzania kwa kufanyia kazi maoni ya wadau.

Mimi nawasuburi hapa wapinzani wa bombadier
 
Tabasamu la huyo Dada linaponesha magonjwa yote sugu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom