Hii iliniuma sana. Nisaidieni

Kiba

JF-Expert Member
Mar 23, 2012
459
62
Habarini wangwana? Ni mara ya 1 mimi kukutana na mwanamke na hakika demu wangu game nilihisi ananizidi mautundu .kaniambia nimfanyie mambo mengii nikashindwa
Naomba kufundishwa Jinsi ya kufanya MASEJI?
 
haujuliakani unachotoka.....massage haihusiani kabisa na style za ku sex...

Umebalehe lini???
 
Habarini wangwana? Ni mara ya 1 mimi kukutana na mwanamke na hakika demu wangu game nilihisi ananizidi mautundu .kaniambia nimfanyie mambo mengii nikashindwa
Naomba kufundishwa Jinsi ya kufanya MASEJI?

Kaazi Kweli kweli! Hivi kwa nini unataka kukimbilia mambo yaliyokuzidi umri?? Unadhani kuna mtu atakayekuwa yatari kukufundisha kufanya hiyo MESEJI unayoitaka??? ili iweje, nawe uwe fundi eeee au mwalimu? Katafute shule usome haya mambo hayakufai.
 
Habarini wangwana? Ni mara ya 1 mimi kukutana na mwanamke na hakika demu wangu game nilihisi ananizidi mautundu .kaniambia nimfanyie mambo mengii nikashindwa
Naomba kufundishwa Jinsi ya kufanya MASEJI?
Kiba, mi mambo ya MASEJI siyajui, labda nikutafutie njemba moja ikufundishe namna ya kuchea na kula soseji
 
Last edited by a moderator:
Habarini wangwana? Ni mara ya 1 mimi kukutana na mwanamke na hakika demu wangu game nilihisi ananizidi mautundu .kaniambia nimfanyie mambo mengii nikashindwa
Naomba kufundishwa Jinsi ya kufanya MASEJI?

Acha upuuzi, kuna mambo ya msingi ya kuuliza. Acha upuuzi! Hili sio jukwaa la ngono, nenda Ohio street watakufundisha
 
Aah! aah, aah! U made my day The Boss, yaani nilikuwa sichacheka leo, hatimaye nimecheka. Ndo maana mi nasemaga hili jukwaa siku hizi limimevamiwa

mjini umewasili lini?kwa treni ya reli ya kati au lori?
 
Back
Top Bottom