Yani Dar kwa kingese sanaIngia humo usome Kama unajua kimombo!
50 major projects planned for South Africa – including a new mega city and space hub
Minister of Public Works and Infrastructure, Patricia de Lille, says that government plans to build more than 50 special infrastructure projects to boost jobs in the country.businesstech.co.za
Dar yenyewe imetushinda kupanga Jiji limekaa Kama Islamabad
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
S.A is something else broHahaha Sasa unadhani Nani hajaishi SA?
Wewe kupiga picha kwenye Barabara unajiona mjanja au unataka na sisi tuweke picha zetu tukiwa kwenye mavikao hapo South Africa ?
Kwanza inaonekana huna la maana unalofanya hapo SA , serious investors hawana muda wa kusema SA hakijafanyika chochote kwenye jiko la kiuwekezaji !
Kama south hawajafanya lolote njoo urudi bongo uje kufanya shughuli zako huku Namtumbo
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Hahahaha.. aisee unachekesha sana ndugu yang. Hizi ni ahadi tu ila bado utekelezaji wake, kwahiyo utakiwi kukimbilia kuamini mpaka pale utakapoona vilivyoahidiwa vimefanyiwa kazi na kukamilika. Look my bro mi nipo hapa kaburu kwa takriban miaka 20 now, Kwahiyo naijua kaburu vizuri kwa 70% kuliko unavyofikiria au unavyoaminishwa na akili yako. Kama ingekuwa ahadi na mipango kama hii ulioweka hapa ndio maendeleo, basi nchi nyingi za afrika zingekuwa mbali sana kimaendeleo. Maana kila raisi wa kiafrika huja na plan nzuri na za kuvutia, lkn utekelezaji ni zero. "Wazaramo wanasema zilongwa mbali, na zitendwa mbali.. Sisi tunaoishi kaburu ndio tunaojua. Ni mara 100 Magufuli alijitahidi kufanya kile alichoahidi kwa wananchi wake kama vile kununua ndege kanunua, Kujenga flyover kajenga, kuongeza na kupanua miundo mbinu ya barabara kaongeza mpaka njia 8, kuzuia utoroshaji wa madini yetu kajenga ukuta. Kaboresha viwanja vya ndege na kuvifanya kuwa vya kisasa, kajenga stand za kisasa za mabasi katika mikoa mbali mbali japo kwa bahati mbaya amekufa hajamalizia mikoa mingine. Daraja kubwa na la kisasa Magufuli bridge, daraja kubwa la tanzanite pale salender bridge. I mean amefanya mengi ambayo mengine nimeacha kuyaweka hapa ili post isiwe ndefu sana. Ila hao wengine wameingia madarakan wamekuta tayari washawekewa kila kitu na weupe, lkn wameshindwa kumalizia hata vile vichache vilivyobaki. Je weupe wangeondoka bila kujenga kama walivyofanya kwetu unafikiri leo hii kwao kungekuwa katika hali gani? Wewe unasoma gazeti.. lkn mimi nipo ndani kabisa kama unavyoona pichani.
View attachment 1987289
View attachment 1987290
View attachment 1987291
na hayo magari yote yalikuwa ya wazungu.Tanzania inajivunia hivi vitu mwaka 2021 😥 S.A sijui itakuwa inajivunia nini mwaka huu baada ya miaka zaidi ya 39 kupita.
View attachment 1986164
Tanzania ni nchi ya kusikitisha sana.
Yalikuwa ya makaburuna hayo magari yote yalikuwa ya wazungu.
Naona upo Hillbrow,fanya tukutane Summit hapo tule vyomboHahahaha.. aisee unachekesha sana ndugu yang. Hizi ni ahadi tu ila bado utekelezaji wake, kwahiyo utakiwi kukimbilia kuamini mpaka pale utakapoona vilivyoahidiwa vimefanyiwa kazi na kukamilika. Look my bro mi nipo hapa kaburu kwa takriban miaka 20 now, Kwahiyo naijua kaburu vizuri kwa 70% kuliko unavyofikiria au unavyoaminishwa na akili yako. Kama ingekuwa ahadi na mipango kama hii ulioweka hapa ndio maendeleo, basi nchi nyingi za afrika zingekuwa mbali sana kimaendeleo. Maana kila raisi wa kiafrika huja na plan nzuri na za kuvutia, lkn utekelezaji ni zero. "Wazaramo wanasema zilongwa mbali, na zitendwa mbali.. Sisi tunaoishi kaburu ndio tunaojua. Ni mara 100 Magufuli alijitahidi kufanya kile alichoahidi kwa wananchi wake kama vile kununua ndege kanunua, Kujenga flyover kajenga, kuongeza na kupanua miundo mbinu ya barabara kaongeza mpaka njia 8, kuzuia utoroshaji wa madini yetu kajenga ukuta. Kaboresha viwanja vya ndege na kuvifanya kuwa vya kisasa, kajenga stand za kisasa za mabasi katika mikoa mbali mbali japo kwa bahati mbaya amekufa hajamalizia mikoa mingine. Daraja kubwa na la kisasa Magufuli bridge, daraja kubwa la tanzanite pale salender bridge. I mean amefanya mengi ambayo mengine nimeacha kuyaweka hapa ili post isiwe ndefu sana. Ila hao wengine wameingia madarakan wamekuta tayari washawekewa kila kitu na weupe, lkn wameshindwa kumalizia hata vile vichache vilivyobaki. Je weupe wangeondoka bila kujenga kama walivyofanya kwetu unafikiri leo hii kwao kungekuwa katika hali gani? Wewe unasoma gazeti.. lkn mimi nipo ndani kabisa kama unavyoona pichani.
View attachment 1987289
View attachment 1987290
View attachment 1987291
Brt iliprove kuwa haikuwa na faida kwao, nakumbuka hata Johannesburg walijaribu ikiitwa reya vaya , haikuendelea sana ,Yani ndio tupigiwe makelele yote haya!
View attachment 1986190View attachment 1986191
Hii ni BRT ya Durban ilitakiwa ikamilike mwaka 2000 ila bado iko hivi hadi leo.
Yani ina maana Tanzania ni mkia sana
Mkuu Upo kwa kaburu miaka 20 , bado unampa credit magu, ? Huu uchafu wa barabara ya njia nane umewahi kuuona huko kwa kaburu? Flyover za ubungo na Tazara umewahi kuziona wapi huko ?Hahahaha.. aisee unachekesha sana ndugu yang. Hizi ni ahadi tu ila bado utekelezaji wake, kwahiyo utakiwi kukimbilia kuamini mpaka pale utakapoona vilivyoahidiwa vimefanyiwa kazi na kukamilika. Look my bro mi nipo hapa kaburu kwa takriban miaka 20 now, Kwahiyo naijua kaburu vizuri kwa 70% kuliko unavyofikiria au unavyoaminishwa na akili yako. Kama ingekuwa ahadi na mipango kama hii ulioweka hapa ndio maendeleo, basi nchi nyingi za afrika zingekuwa mbali sana kimaendeleo. Maana kila raisi wa kiafrika huja na plan nzuri na za kuvutia, lkn utekelezaji ni zero. "Wazaramo wanasema zilongwa mbali, na zitendwa mbali.. Sisi tunaoishi kaburu ndio tunaojua. Ni mara 100 Magufuli alijitahidi kufanya kile alichoahidi kwa wananchi wake kama vile kununua ndege kanunua, Kujenga flyover kajenga, kuongeza na kupanua miundo mbinu ya barabara kaongeza mpaka njia 8, kuzuia utoroshaji wa madini yetu kajenga ukuta. Kaboresha viwanja vya ndege na kuvifanya kuwa vya kisasa, kajenga stand za kisasa za mabasi katika mikoa mbali mbali japo kwa bahati mbaya amekufa hajamalizia mikoa mingine. Daraja kubwa na la kisasa Magufuli bridge, daraja kubwa la tanzanite pale salender bridge. I mean amefanya mengi ambayo mengine nimeacha kuyaweka hapa ili post isiwe ndefu sana. Ila hao wengine wameingia madarakan wamekuta tayari washawekewa kila kitu na weupe, lkn wameshindwa kumalizia hata vile vichache vilivyobaki. Je weupe wangeondoka bila kujenga kama walivyofanya kwetu unafikiri leo hii kwao kungekuwa katika hali gani? Wewe unasoma gazeti.. lkn mimi nipo ndani kabisa kama unavyoona pichani.
View attachment 1987289
View attachment 1987290
View attachment 1987291
Unajua usingepita hapo wewe mtu mweusi miaka hiyo?Tanzania inajivunia hivi vitu mwaka 2021 😥 S.A sijui itakuwa inajivunia nini mwaka huu baada ya miaka zaidi ya 39 kupita.
View attachment 1986164
Tanzania ni nchi ya kusikitisha sana.
Soma vizuri post zangu.. nimekwambia sisi tulipata uhuru nchi ikiwa almost uchi (yan weupe walikuwa wanachukua vyetu bure na kwenda kujenga kwao). Hapa namaanisha asilimia kubwa ya majengo ya kuanzia miaka 70 hadi 2021, barabara, viwanja vya ndege, park station, fly over na vingine vingi vilivyoleta au vinavyoleta maendeleo ndani ya nchi tumejenga wenyewe chini ya maraisi wetu baba wa taifa mw J.K. Nyerere, mzee wetu Ali. H Mwinyi, hayati Mkapa, Kikwete, Magufuli na sasa tuna ngoja tuone upande wa bimkubwa mama Samia. Wenzetu walipata uhuru kutoka kwa weupe nchi ikiwa ina kila kitu unachokiona mfano ni hiyo picha aliyoweka mleta mada akisema ni ya mwaka 1987. Mimi nilitaka sasa kujua ni maendeleo yapi yaliofanywa na kiongozi mweusi ambayo yanazidi yale yaliofanywa na viongozi weusi wa nchi zingine ukitoa yale ambayo tayari walikuwa washatafuniwa na weupe. Hata sisi tungewaacha weupe waishi na kujenga Tz kama walivyojenga kaburu basi nchi yetu ingekuwa mbali. Ila baba yetu wa taifa hakutaka ujinga huo. Kwahiyo ni lazima niwape credit viongozi wetu na hasa Magu kwa yale waliyoyafanya ukilinganisha na hawa waliotafuniwa kila kitu lkn wameshindwa kurekebisha hata vile vichache vilivyobaki. Jiulize wangepata uhuru nchi ikiwa uchi kama sisi miaka ya 60 wangekuwa wamefanya kitu gani cha maana?Mkuu Upo kwa kaburu miaka 20 , bado unampa credit magu, ? Huu uchafu wa barabara ya njia nane umewahi kuuona huko kwa kaburu? Flyover za ubungo na Tazara umewahi kuziona wapi huko ?
Yani mtu amejenga vitu chini ya kiwango then bado unampa sifa ? Huu uchafu wa kituo cha mbezi unaweza kuulinganisha hata na park station ya hapo Jhb?
Kulula , mango airways zote zilikuwa zinafanya biashara side by side na south african airways, huku kwetu baada ya kununua ndege uliona kilichotokea kwa fast jet na precision?
Umenisikitisha sana asee, umekaa nje na kupata exposure, ila bado hujajifunza kitu