Hii ilikuwa Durban 1982

Tumejenga wapi Dar zaidi ya 70% ni unplanned and unsurveyed ...

Nchi imejaa skwata Kama tuko Islamabad
 
Wa-Dutch (Boers) wameingia SA by 1600s. Wame settle na kuendeleza hapo so una expect kweli ulinganishe SA na TZ?
 
Tumejenga wapi Dar zaidi ya 70% ni unplanned and unsurveyed ...

Nchi imejaa skwata Kama tuko Islamabad
Kwani kaka hiyo Dar ndio tunatakiwa tujivunie nayo?
 
Kaka S.A ina vingi vya kukushangaza tena vilivyojengwa wakati wa utawala wa Jacob Zuma tu hata siendi mbali.

Yani ni vyakushangaza sana
Ni vipi hivyo mkuu.. ndo uviweke hapa tuvilinganishe na hivi vya kwetu. Naongea nikiwa mwenyeji wa South na mzaliwa wa Tanzania.
 
Wa-Dutch (Boers) wameingia SA by 1600s. Wame settle na kuendeleza hapo so una expect kweli ulinganishe SA na TZ?
Angalau mji na mji kaka, hata Durban na Dar au Soweto na Arusha hata comparison haitokuwa sawa basi mzani usiwe umeinama kiasi hiki
 
Ni vipi hivyo mkuu.. ndo uviweke hapa tuvilinganishe na hivi vya kwetu. Naongea nikiwa mwenyeji wa South na mzaliwa wa Tanzania.
Kwamba Tanzania imejengwa zaidi ya South Africa ? Una kichaa wewe.
 
Kwamba Tanzania imejengwa zaidi ya South Africa ? Una kichaa wewe.
Soma vizur post yang ya kwanza afu ndo uje comment vizur sio unakurupuka. Nimezungumzia vitu vilivyojengwa baada ya uhuru. South imeendelezwa hasa na weupe lkn baada ya uhuru hakuna cha maana kilichojengwa zaidi ya kupaka viwanja vya mpira rangi. Tanzania iliachwa uchi na mzungu lkn wazawa wenyewe wamekomaa wakaijenga. Sasa hauoni tofauti ya vilivyojengwa na wazawa wa Tz na wazawa wa kaburu baada ya uhuru wa nchi zao! Tembelea Alexsanda, Germiston, Tembisa, baadhi ya maeneo ya soweto, Jeppe kule hostel na kwingineko wanakoishi wazawa halisi uone hiki ninachoandika hapa.
 
Nitajie miradi hapa Tanzania ambayo imejengwa na wazawa ?

Miradi yote mikubwa Tanzania Ni pesa za wazungu!

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Nitajie miradi hapa Tanzania ambayo imejengwa na wazawa ?

Miradi yote mikubwa Tanzania Ni pesa za wazungu!

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Pesa za wazungu ukiwa na maana wametupa tu tujenge au mikopo? Je hiyo miradi mikubwa imejengwa wakati wa ukoloni au baada ya ukoloni? Hapa nimetaka kujua baada ya uhuru wa mwaka 94 kule kaburu ni miradi gani mikubwa ya maana iliyofanywa na serikali ya mtu mweusi?
 
Si tuna machinga wao hawana. Game over.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…