Hii ikikutokea utamsalimia au unampotezea?

Hii ikikutokea utamsalimia au unampotezea?

Ni kweli umepiga picha kanisani kwa kuwa mabench ni ushahidi na kweli mtoto anakukodolea hizi kitu tunazotumia kuangalia na visivyoangalika embu tuambie ulisalimiaje?
 
Mmh!!!Maji Ukiyavulia nguo Sharti uyaoge.Ila from the bottom of my Heart,Fanya yote uwezayo kwa hili Utakonda palepale na kuhisi Kwenda Haja vilee!!!! Mhh Tuchart tu hapa Usiombe Likutokeee wewe
 
10801832_709524145792237_4168499991655235121_n.jpg

cc: REV KISOLO
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom