englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,209
Tatizo ni jina gani atakuita huyu mtoto?Maana nimeanza kucheka kabisa mkuu!
Ahahahahaaaaaaaa. Shikamoo baba!!!!!
mara nyingi wanaita anko sio baba
mara nyingi wanaita anko sio baba
Speaking from experience??
Tatizo haishii kwenye anko tu mkuu, lazima atauliza na ile ahadi ya jana "uncle we KESHO usiku tulipokuwa chumbani kwa mama si ulisema nitoke utanipa biskuti mbona hukinipa?"
hahaha naah ningekuwa nae wa kuniita auntie ningeringaje
Mmmhhhh
Halafu mwenza wako yupo jirani.Lazima "unene kwa lugha" kwa kigugumizi grade one,dah!
Hahahahahahahaha! Sasa kama ni Catholic au Mlutheri atanenaje!