Hii ikifanikiwa kwa 100% itakuwaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ikifanikiwa kwa 100% itakuwaje?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Konakali, Aug 18, 2010.

 1. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Hii ni changamoto ya dunia yetu;

  1. Kila mahali ukienda, idadi ya wanawake ni kubwa kuliko ya wanaume...!

  2. Zaidi ya 50% ya watu hawa ni wakiristo, wanaopinga ndoa za wake wengi...!

  3. Serikali za nchi nyingine kama Tanzania, hutambua mke mmoja kwa mume mmoja tu...!

  4. Wanaume wenyewe wameanza kuchukuana wenyewe kwa wenyewe...!!!!, na kwa kila wanaume wawili waliochukuana, wanawake wawili wamekosa nafasi...!!!. Wengine huamua kutooa kabisa...!

  5. Taasisi mbalimbali zimeanza kuendesha kampeni za kusihi walio katika mahusiano kuwa waaminifu katika mahusiano yao...! Hii ni habari njema, tena yenye baraka kwa Mungu, lakini ikitokea kampeni hizi zikafanikiwa kwa 100%, wanawake wengine watahudumiwa wapi?
   
 2. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,481
  Likes Received: 2,083
  Trophy Points: 280
  kwa takwimu hiyo nyumba ndogo haziwezi kuisha
   
 3. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  The irony of it all, hata hao wenye kutaka kuwa na wake/wanawake wengi siyo lazima ati huwalenga wanawake single!

  Polygamy/mitala siyo suluhisho la kuongezeka kwa idadi ya wanawake au kuwepo kwa idadi ndogo ya wanaume.
   
 4. E

  Edo JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2010
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Mkuu bila shaka umeona mbali, japo checki vizuri hiyo 3, Naamini Tanzania tunatambua ndoa za mke zaidi ya mmoja (Vyeti vya ndoa TZ vina option -huenda ikawa ya mke zaidi ya mmoja !)
   
 5. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  TEHE TEHE IKIWA IVYO ITABIDI WANAUME NDO TUCHUMBIWE.nTARINGAJE?
   
 6. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Hivyo niliitambu, lakini ukiajiriwa na serikali ya Tanzania na ukawa mtumishi, anayestahili kupata baadhi za benefits za utumishi wako, kama vile nauli za kwenda likizo na sehemu za kazi na uhamisho, bima ya afya, n.k, ni mmoja tu. Wengine sawa hutambuliwa kama wake zako, lakini si kwa kupata haki zingine kama mke wa mtumishi...! Aidha, bado tujiulize itakuwaje iwapo hizi kampeni zitafanikiwa?
   
 7. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #7
  Aug 19, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Tunaomba ifanikiwe 100% wanaume tuwe na soko kubwa hasa tulio single
   
 8. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #8
  Aug 19, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Mkuu unajua kufikiri. Nami siku moja niliwahi kujiuliza mbona idadi ya akina mama ni kubwa kuliko kina baba? hebu cheki kila mahali especially kwenye mikusanyiko, eg sokoni, makanisani, kwenye sherehe n.k. Hii ni changamoto. nadhani inabidi tafiti zifanyike ili zishauri jinsi ya kufanya, vinginevyo wadada itakuja fikia kiwango cha kuanza kuwaibia wenzao wenye ma- partners!
   
 9. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #9
  Aug 19, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hili swala la kusema kuwa Mungu hapendi ndoa nyingi ni uongo! Kwenye Biblia ni sehemu nyingi sana tunaona mifano ya polygamy! It seems to be a society value thing. Kwa hiyo inabadilika kutokana na wakati.
  On one hand...kuwa na wake wengi ni ku-objectify wanawake...au sio? But then...it means one k for the rest of ur life. Na unaambiwa kuwa kuna kila k ni tofauti. Sasa kuwa na mke mmoja kweli hiyo haki?
   
Loading...