Sema pinda mstaraabu hana mambo mengi,hapo naona wanafata itifakiPinda nae mwanamtandao
Maafisa vipenyo nchi inaibiwa namna hii wamekaa TU! FBI/CIA, Mossad, KGB wanafanya upuuzi wa namna hiyo nchi zao zikaendelea? Hao ni mauvccm, hovyo! Teeth hawana lolote ni machawa TU!😄 na afisa kipenyo longtime ago
Ova
Wako kwa ajili ya kukilinda na kukitetea chama 😄 tuMaafisa vipenyo nchi inaibiwa namna hii wamekaa TU! FBi/CIA, Mossad, KGB wanafanya upuuzi wa namna hiyo nchi zao zikaendelea? Hao ni mauvccm, hovyo! Teeth hawana lolote ni machawa TU!
Kuna ubaya gani ?Angalia kulia na kushoto mwa Mh Rais wote ni maafisa vipenyo najiuliza wapi tunafeli?
Hakuna afisa vipenyp TZ wote ni wahuni tu hao. Unatumwa afisa kipenyo unakuja kutafuta TZ hautakuwa seriousAngalia kulia na kushoto mwa Mh Rais wote ni maafisa vipenyo najiuliza wapi tunafeli?
Sio mwanamtandao?Sema pinda mstaraabu hana mambo mengi,hapo naona wanafata itifaki
Ova
Dreva tax kitambo sana😄 na afisa kipenyo longtime ago
Ova
Waambie ukweli Hawa machawa!Hakuna afisa vipenyp TZ wote ni wahuni tu hao. Unatumwa afisa kipenyo unakuja kutafuta TZ hautakuwa serious
Ngoja sasa tukutafute utuelezee uso kwa uso hayo maslahi ya magenge tunayolinda.Vipenyo ni special kwa kulinda maslahi ya chama na genge lake