Hii hutokea chuo cha usafirishaji (NIT) tu

Rudia tu hamna namna, mi nilirudia mwaka kwa kesi ya majungu tu sio kwamba nilishindwa mtihani ila chuo kilitumia mabavu yani! Ndio vyuo vyetu vya kibongo hivo
 
Ni hv wandugu wanafunzi walifanya UE mwezi 9 kwenda mwaka 3 lakini kama wanafunzi 180 walipata suprimementary katika somo la IT wakafanya tena mtihan wa hlo somo ili wasapue but wanafunzi wote wakafeli tena kwa kupata f.Wakarud nyumban sabab ilikua ni likizo lakini baada ya hayo matokeo ambalo somo hilo anafundisha mwalimu Daudi,idara ya logistic ikahoji iweje wanafunzi wote wafeli tena kwa kupata f?.Uongozi ukabadilisha mwalimu wa somo na mwalimu Daudi akaondolewa.Mwalimu aliteuliwa akatangaza wanafunzi warudi chuoni atawafundisha kwa siku 10 na atawapa mtihan mwingine.So wanafunzi wakarudi chuon toka likizo wengine waliwahi kurudi na wengine walichelewa,siku ya mtihan ikafika na wanafunzi wakafka kwenye chumba cha mtihan mara wakaambiwa waliochelewa kufika hawatafanya mtihan kwa hyo watoke nje na wakafanya hivyo.lakini badae wakataka kujua hatma yao mana hawakuchelewa kwa makusudi Kwan ilikua ni likizo na walikua nyumban.Sasa cha ajabu wameambiwa wanarudia mwaka wa pili kwa kufeli somo moja tu tena watasoma semester ya pili.Kawaida vyuo vyote ukifeli somo moja unaenda mwaka 2 au 3 lakini unabeba/soma lile somo ulilofeli mwaka uliopita.Wizara ya Elimu hebu kitazameni hiki chuo cha jicho LA tatu mana kuna Madudu mengi saana pale NIT wakufunzi ni kama miungu watu. Na hawa wanafunzi 180 wanarudia mwaka kwa kufeli somo moja tu tunaomba wizara husika mkitazame iki chuo
Mh! Hivi carry bado ipogo?
 
Alikuwaga mkuu wangu wa idara huyo akabadilishwa akawekwa mama moja amaitwa Leticia ni noma sema yupo jamaa moja anaitwa Thomas Mosha aka magumashi yuko poa sana.
Mwalimu Daudi amelalamikiwa sana.Ana shida gani?
 
wanafunzi wasikuizi bhana dah mnapenda kulialia mbn NIT chuo chepesi sana kile ungesona DIT, ARU,Muhimbili je au Mzumbe ww si ndo mngedata nyie.....visabu vya it vinawatoa jasho wakati mnatumia simu lap too ila it amuijui dah.
Umeongea point ila mifano ya vyuo vyao ni takataka hizo.vyuo vyote vya mapopoma hivyo mkuu
 
Kwani Sheria inasemaje ukifeli mwaka wa
Mwisho? Tuanzie hapo, ila ukifeli nit ujue UDSM ungedisco kabisa
 
Hakuna tofauti Sana na chuo Cha maji somo la hesabu supplementary yake mtego imewahi kurudisha nyumbani rafiki zangu wengi Sana ..eti ukifeli next offered na sio una carry somo..kwa kweli vyuo vya technical viangalie Sana hii kitu
 
pili.Kawaida vyuo vyote ukifeli somo moja unaenda mwaka 2 au 3 lakini unabeba/soma lile somo ulilofeli mwaka uliopita

hapa labda nikueleweshe ndugu yangu... bachelor degree mwaka wa kwanza na wapili huwa ni NTA LEVEL 7 ndio maana unaruhusiwa kucary masomo yote hata core subjects sababu ni ndani ya level moja

sasa ukija mwaka wa 3 huwa ni NTA LEVEL 8 sasa hapa hutakiwi kuingia na vimeo vya kutoka LEVEL nyingine unless kiwe kimeo cha ELECTIVE SUBJECT kikiwa CORE SUBJECT kutoka NTA LEVEL 7 mwaka wa1-2 huruhusiwi kuingia nacho NTA LEVEL 8 mwaka wa 3

sasa basi kama hilo somo la IT lilikuwa ni CORE SUBJECT na mmeshindwa kusapua basi hakuna sheria yoyote inayokuruhusu kucary kuingia nalo mwaka wa 3 kwa vyuo vyote vya serikali hapo utapata kitu kinaitwa REPEATE MODULE yaani unarudia mwaka wa pili ukisoma somo/ masomo uliyofeli

sasa embu nijibu hyo module ya IT ni core au ni elective... kama ni elective basi hamjatendewa haki ila kama ni core inabidi tu mrudie mwaka 2
 
wanafunzi wasikuizi bhana dah mnapenda kulialia mbn NIT chuo chepesi sana kile ungesona DIT, ARU,Muhimbili je au Mzumbe ww si ndo mngedata nyie.....visabu vya it vinawatoa jasho wakati mnatumia simu lap too ila it amuijui dah.

ila ARU kuna sehemu wanalegezewa kama sheria ya course work haifanyi kazi.... pale ARU hata mtu akiwa na course work ya 12 anaingia kupiga paper la mwisho ...hawana technical sup pale...
 
Hicho chuo akina ile Managment Credibility and integrity..
nikifanya interview mwaka 2015 ya kufundisha hilo somo, nikafika mpka Oral, kipindi hicho wao wakifanya recruitment..
Baadae nikisikia kuwa wamememuweka mtu wao aliyekuwa akijitolea kwa muda mrefu..
yaan Oral ya watu 10, kwa upepelezi wangu hakuna hata mmoja aliyeitwa kazini..
vilevile kwa nafasi ya ICT Oficer ilikuwa vilevile..

sa iv naona utumishi ndio wanafanya recruitment insteda off, na muda sio mrefu mtapata mwalim wa somo hilo maana nomeona wamepeleka ajira mpya kwenu
 
Hilo somo (darasa) lilikuwa na wanafunzi wangapi? Amini usiamini hapa kuna maajabu, labda mtu aniambie kuwa hao wanafunzi hawakustahili kua hapo. Hata mtihani ukiwa mgumu kiasi gani kama vigezo vimezingatiwa kati ya 180 waliojitayarisha kufanya mtihani lazima kuna ambao watapita. Hii nafikiri ndiyo imemuondoa mwalimu Daudi.

Kwenye issue kama hii mwalimu huwa hajiamulii tu, itakuwa imepitishwa na chuo. Kitu ambacho hukuwa wazi ni je waliambiwa watafanya mtihani wakati likizo inaendelea au ni baada ya chuo kufunguliwa? Sasa hao walio chelewa wamechelewa kwa lipi haswa? Vijana wa siku hizi mnamitandao yenu, najiuliza kama mnaitwa mpewe supplimentary kuna ambaye atakuwa hakupata hizo taarifa kweli au ni yale mambo yetu yaku puuzia puuzia mambo?

Soma sheria za chuo chako. Unatakiwa upate jibu kutoka kwenye examination regulation za chuo, kila chuo kina sheria zake, mjiridhishe kwamba sheria zimezingatiwa. Hayo unayosema mahali kama SUA ni kawaida tu. Hiyo inaitwa kuritake (siyo carry forward).
Wanafunzi 400 mkuu
 
Baada ya mwalimu kubadilishwa mwalimu husika akatoa tangazo wanafunzi warudi chuoni but walikua tayar washarud makwao
 
wanafunzi wasikuizi bhana dah mnapenda kulialia mbn NIT chuo chepesi sana kile ungesona DIT, ARU,Muhimbili je au Mzumbe ww si ndo mngedata nyie.....visabu vya it vinawatoa jasho wakati mnatumia simu lap too ila it amuijui dah.
vilaza
 
hapa labda nikueleweshe ndugu yangu... bachelor degree mwaka wa kwanza na wapili huwa ni NTA LEVEL 7 ndio maana unaruhusiwa kucary masomo yote hata core subjects sababu ni ndani ya level moja

sasa ukija mwaka wa 3 huwa ni NTA LEVEL 8 sasa hapa hutakiwi kuingia na vimeo vya kutoka LEVEL nyingine unless kiwe kimeo cha ELECTIVE SUBJECT kikiwa CORE SUBJECT kutoka NTA LEVEL 7 mwaka wa1-2 huruhusiwi kuingia nacho NTA LEVEL 8 mwaka wa 3

sasa basi kama hilo somo la IT lilikuwa ni CORE SUBJECT na mmeshindwa kusapua basi hakuna sheria yoyote inayokuruhusu kucary kuingia nalo mwaka wa 3 kwa vyuo vyote vya serikali hapo utapata kitu kinaitwa REPEATE MODULE yaani unarudia mwaka wa pili ukisoma somo/ masomo uliyofeli

sasa embu nijibu hyo module ya IT ni core au ni elective... kama ni elective basi hamjatendewa haki ila kama ni core inabidi tu mrudie mwaka 2
Sio core subject ni elective
 
Back
Top Bottom