Hii Highway iko nchini Norway

Hii Highway iko nchini Norway

Kuna pia Öresund bridge toka Norway kwenda Finland na Sweden nimekatiza na gari na treni juu.
Jamaa wamepiga undeground tunnel ndani ya maji [emoji2211].
Gari inapita chini ndani ya maji treni juu darajani
Watu wapo mbali sana kimaendeleo, yaani Barabara inapotelea ndani ya maji lakini inatokea jiji lingine sheikh
View attachment 1701960
 
Katika viumbe vyote vilivyoumbwa, binadamu kaumbika kuliko vyote, amepewa AKILI, UJUZI na MAARIFA kuliko viumbe vingine viishivyo duniani.

Upo sawa kabisa, ila usisahau pia ndio kiumbe kinacho ongoza kwa kuuana. Kimebuni silaha mbali mbali za kukatisha maisha ya mwenzie.
 
Hilo shimo la pili na maji yanavyotiririka sijui navuta picha gan...
Tupo pamoja Mkuu....tatizo motoni tutakuwa mbalimbali....C na U hizi alphabet zitafanya tusionane. Ila mpaka sasa kwenye hiyo picha unayoivuta tupo pamoja....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna pia Öresund bridge toka Norway kwenda Finland na Sweden nimekatiza na gari na treni juu.
Jamaa wamepiga undeground tunnel ndani ya maji 🚶‍♂️.
Gari inapita chini ndani ya maji treni juu darajani
Sheikh Makhtum ametengeneza ka hizo huko kwake dubz, barabara ukipita simu inapoteza network hadi utokezee upande wa pili ardhini. Watu wana akili pana na pesa za kumwaga 🤣

✌️
 
Back
Top Bottom