Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,062
- 3,280
Huyo mwenye red sandals, kashika pen ni shangazi yangu kabisa na humu JF yumo, akiiona picha ake cjui atajifeel vp.
Shame on you Graduates..
Kabla ya kuanza kuilamua Nchi , ivi nyie Graduate kwann bado mna mawazo mgando saana ... huu utitiri wote unasababishwa na vichwa vyenu kujiiandaa kuajiriwa kuliko kujiajiri .
Hii hatari , nauona Uzembe wa Wahitimu ndipo baadae nitaailamu serikali
Uwezo mdogo wa kufikiri ni kwa Graduate yeyote yule kuendelea kuamini ajira ndio mkombozi wa maisha yake . Hata usome fani gani .. maisha ni kuwaza zaidi ya ajira . Acha mawazo mgando .Mtoa mada ndo una mawazo mgando..kama ingekua kujiajiri tu kuna haja gani ya kusoma sasa? ..mtu anatakiwa kufanyia kazi fani aliyosomea, ujasiriamali ni misemo ya kisiasa tu
hizo picha za watu ni uzalilishaji... wanajua kama umewaweka humu!?? kama umepata kazi shukuru acha wengine waenelee kutafuta!!!! unaongelea kujiajiri usidhani graduate wote wapo kwenye level kama zako
Shame on you Graduates..
Kabla ya kuanza kuilamua Nchi , ivi nyie Graduate kwann bado mna mawazo mgando saana ... huu utitiri wote unasababishwa na vichwa vyenu kujiiandaa kuajiriwa kuliko kujiajiri .
Hii hatari , nauona Uzembe wa Wahitimu ndipo baadae nitaailamu serikali
Shame on you Graduates..
Kabla ya kuanza kuilamua Nchi , ivi nyie Graduate kwann bado mna mawazo mgando saana ... huu utitiri wote unasababishwa na vichwa vyenu kujiiandaa kuajiriwa kuliko kujiajiri .
Hii hatari , nauona Uzembe wa Wahitimu ndipo baadae nitaailamu serikali
Naomba uje pm plse.Huyo mwenye red sandals, kashika pen ni shangazi yangu kabisa na humu JF yumo, akiiona picha ake cjui atajifeel vp.