Hii hatari sana Philippines disaster ebu oneni..

Hii hatari sana Philippines disaster ebu oneni..

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,250
filip.jpg
filip.jpg
filip.jpg
filip.jpg
filip.jpg
filip.jpg
filip.jpg
filip.jpg
filip.jpg
 
Mungu awasaidie maana hii ni balaa kweli kweli
 
Balaa sana Mkuu, unajua Watanzania Mungu katuepusha na majanga mengi sana. Inabidi kumshukuru sana Mola kwa rehema na neema anazotujalia
Mokoyo wacha tuyaone tuu kwenye tv huko kwa wenzetu ila hili sio la kuombea hata kwetu maana itakuwa ni balaa
Mungu atuepushe na janga kama hilo kwa kweli
 
Last edited by a moderator:
Kweli si unaona yaliotokea kipindi kile Bongo ilikuwa mtafutano sasa yakitokea kama haya du hatari zaidi na zaidi.
 
Inaogopesha! Nchi imetikiswa na kutikisika kama kiberiti! Tanzania imetangaza kutoa msaada?
 
Huwa nawaza sana vitu km hivi vingekuwa vinatokea Africa mara kwa mara sijui tungekuwaje
 
Huu ndio ushenzi wa bahari,,,,,naichukia sana bahari,,,inasikitisha sana.
 
Tanzania tungekuwa tunapata majanga kama haya sijui ingekuwaje..Eeeh M/Mungu tuepushe na haya MAJANGA
 
Mungu awajaarie kila jema maaana mmh!tuombe yasitukute kabisa...
 
MwenyeEzzi Mungu tunusuru... Usituchukulie kwa wanaokusaliti au wanaokuudhii !! Sisi ni wanyonge tuu kwako.AMIN
 
Ndallo unautani na watu kwamba wameahidi kutoa nini ebu ludia ena.......ha!ha!ha!
 
Back
Top Bottom