Hii hata Lowassa anacheza

Hii hata Lowassa anacheza

Yaani unaugua ugonjwa mbaya kiasi cha kudhani kuwa tutakwenda kupiga kura kwa rhythm ya ahalimselema halija?

Mmeishiwa sera. Na mtapiga push-up sana mwaka huu. Next time mtuoneshe ujuzi wa kucheza mchiriku.
 
CCM ile ile Ikulu? Acha utani wewe ajuza, mbona unapingana na hilo komeo? Yeye kasema waliokuwa Ikulu ndio wamesababisha matatizo anayoyashangaa kila anakopita. Kasahau vikao vyote vya Ikulu alikuwa akihudhuria bila kukosa kwa miaka ishirini na zaidi!
 
CCM mbele kwa mbele.

Hata wewe unaiimba kimoyomoyo!

Bisha.

Hivi ww kibibi FOXY, saa hizi usiku hivi hamna mtu wa kukupiga pumbv...!!!

Au NUNGAYEMBE wewe... maana kila mwanaume atakukimbia, ur dirty, from words, action, body, clothy, behaviours... etc... too dirty..!!!

NUNGAYEMBE wee
 
CCM mbele kwa mbele.

Hata wewe unaiimba kimoyomoyo!

Bisha.
Nasikia una chuo cha sita ni kweli?.we kaa haba hivi huo moto unaopelekewa huriziki tu hadi uhangaike na huku hebu tuliza kipa.pa chini jaribu kuwa na staha kdg hee jamani mwanamke gani kutwa kubishana na wanaume humu
 
sijawahi kuona uzi wa huyu dada yana anakurupukaga na kuja kutuletea link za ytb utadhani yy pekee ndo ana acess na ytb
 
Yaani unaugua ugonjwa mbaya kiasi cha kudhani kuwa tutakwenda kupiga kura kwa rhythm ya ahalimselema halija?

Mmeishiwa sera. Na mtapiga push-up sana mwaka huu. Next time mtuoneshe ujuzi wa kucheza mchiriku.

Kama kupiga ngoma tayari,kikombe cha babu tayari,kwa tb joh sure tayari,push ups tayari,matusi kwa wapiga kura tayari,kumponda raisi wetu wa sasa tayari,barabara nazo tayari zimeanza kuharibika,utafiti wa uongo tayari,fiesta-chama tayari,kuanza kuendeshwa kwa remote tayari,dalili za ukbila nazo njenje.Nini kingine ambacho bado hakijafanywa na J.Viroba Makomeo na timu yake?Tukumbushane.
 
CCM ile ile Ikulu? Acha utani wewe ajuza, mbona unapingana na hilo komeo? Yeye kasema waliokuwa Ikulu ndio wamesababisha matatizo anayoyashangaa kila anakopita. Kasahau vikao vyote vya Ikulu alikuwa akihudhuria bila kukosa kwa miaka ishirini na zaidi!

Lowasssa alikuwa waziri mkuu wa kwanza aliyepigwa chini kwa kashfa Tanzania hii. Usisahau hilo.

Na mtayarisheni ukisha uchaguzi kuna kesi zinamngoja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom