umetoa mchango ?
..mtumishi utakuwa husomi blblia au huielewi. Katika harusi ya KANA, baada ya pombe iliyoandaliwa kwisha watu walipiga kelele..ndipo mama ake.. akamfuata mwanae na kumwambia kuhusu kuishiwa pombe..mtoto kwa kutambua umuhimu wa pombe kwenye harusi akafanya miujiza yake akabadilisha maji kuwa pombe, watu we-weeeeeeee.

sasa umeambiwa harusi ni bar? Pale inapashwa kuwa mahali pa kuusifu utukufu wa Mungu, sio kuendekeza kumsifu ibirisi kama ndiye aliyefungisha ndoa hiyoMpuuzi kweli, hiyo ni sherehe lazma washeherekee. Au mwenzetu ulitaka wakitoka kanisani waanze kusifu na kuabudu then wapige maombi ya kufa mtu na baada ya hapo wale nzige na asali na kurudi nyumbani kujiandaa na mfungo kwaajili ya kuombea hiyo ndoa!? Tumia akili kila jambo na muda wake kuna muda wa kulia na muda wa kucheka muda wa kusheherekea na muda wakuomboleza usitake kila mtu aishi kama Yohana mbatizaji wengine wanaweza kuishi kama Suleimani na wengine wakafuata maisha ya Musa. Cha muhimu ni kuwa tusimsahau mungu siku zite.
harusi yangu itavunja record ya harusi zote...
suprise itakua ni menu ya ugali kwa matembele,