Hii harusi kama tuko bar au Grosary

Hii harusi kama tuko bar au Grosary

mpendwa, pale Kana haikuwa pombe, it was juisi ya zabibu. Yesu hawezi kujipinga. Fumbuka macho

...soma maandiko uelewe, DIVAI ni POMBE na SIYO JUISI YA ZABIBU kama unavyotaka ieleweke (soma mwanzo 9: 20-21 “Sasa Noa (NUHU) akaanza kuwa mkulima, akapanda shamba la mizabibu., Akanywa divai na kulewa,) ilikuwa juisi kwa nini waiite DIVAI wakati DIVAI ni kilevi (angalia maana ya neno DIVAI kwenye kamusi ya Kiswahili)
 
mpendwa, pale Kana haikuwa pombe, it was juisi ya zabibu. Yesu hawezi kujipinga. Fumbuka macho

Acha kupotosha watu. Usijifanye kupindisha maandiko wakati yamenyooka vizuri.
Kwa kuongezea tu kasome Mithali 31: 6 -7 , Mhubiri 9: 7 umalizie na Mhubiri 10 :19
 
Mchango nilitoa, single 50000

Kumbe hujaoa? Oa ujue utamu wa kusherekea Harusi, Waulize watu siku zote harusi yoyote ambayo haina pombe huwa haijangamka utafikiri mko kwenye Komnio ya Kwanza. Laha ya Sherehe ni pombe.
 
Kuna harusi hapa nahudhuria ya dhehebu fulani, yaan full mipombe na miziki ya kusifu uibirisi tuuu. Nashindwa kuitofautisha na kukaa bar, maana baadhi ya wahudhuriaji wamevaa hovyoo, nyimbo ni zile za mabar n.k. Hapa nikalale zangu tu home, hakuna baraka hapa.

Ndugu zangu, ndoa ni tendo takatifu. Kushadadia pombe na miziki ya kidunia ni kuchafua baraka mlizopata kanisani. Sishauri pombe na malimwengu ktk sherehe za ndoa.

Wasalaam

usidhani kuto kunywa pombe ndiyo kumcha bwana unaweza kujikuta wew ni mchafu kuliko hao wanywa pombe... kitendo cha kudhani wewe uko sasahihi kuliko wengine ni dhambi pia cio!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom