weka videoKunyonyana denda zaidi ya dakika tano mbele ya wazazi.
Mwanamke kumkatia mumewe viuno zaidi ya baikoko(vile viuno vya chumbani) hadharani.
Mwanamke kutafuna keki na kisha kummiminia mmeo mdomoni mbele ya kadamnasi.
Kwa kweli imenishangaza sana
Karibu kwetu kibitiHarusi yenyewe iko wapi?
Jose kunavideo ninataka kuiweka ila inagoma.sijui nifanye aje???weka video
Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
unatumia app au web?Jose kunavideo ninataka kuiweka ila inagoma.sijui nifanye aje???
Denda hatari.Lile denda sio la nchi hii