EDIT hii post tafadhali wanaume huwa hatuolewi, mimi sio mwanaume suruali mbona wewe ndo umenielewa vby? nilimaanisha wadogo kama platozoom wenye wivu na wachungi watanifanya miye dada yao nisiolewe
never mind, i'll quit while i'm ahead this time. peace outUngejua amekuchuuza usingesema umepigwa changa la macho tayari
jaman platozoom kaniambia mim thanks!! uskasrike!! kaka na dada mkigombana c tutashndwa kugombelezea!Umeanza utukutuNimeshakuwa princes enny sio!
hahahahhahah!!!!tena platozoom kaenda kulalamika hadi kwenye thread nyngne!! tena kakumaind-je!!??? haya sasa uombe msamah!!nafikiri naye anataka bandiko la msamaha chezeya platozoom weyeeee!
hahahahhahah!!!!tena platozoom kaenda kulalamika hadi kwenye thread nyngne!! tena kakumaind-je!!??? haya sasa uombe msamah!!
nimeiona hiyo shosito wangu nimemkwazajeee!!!!!!! haya platozoom kaka yangu wa ukweli nisamehe si wajua kwamba miye dada yako nakupenda eeh!
yan akichanganya hasira za hyo nguo na hlo jina!!! heee!! lol but atkusameh next of kin usjal!!nimeiona hiyo shosito wangu nimemkwazajeee!!!!!!! haya platozoom kaka yangu wa ukweli nisamehe si wajua kwamba miye dada yako nakupenda eeh!
yan akichanganya hasira za hyo nguo na hlo jina!!! heee!! lol but atkusameh next of kin usjal!!
mamii next of kin nashukuru hata kwa jalamba unalonipigia manake weye ndo mtetezi wangu..
love u mwahhhhhh!
Kaizer unakumbuka maneno ya ShYahya (RIP)? Kwenye early 90's enzi za mzee Ruksa alisema Tanzania nzima anafunga peke yake,wabongo walimjia juu lakini yeye aka stick to his guns akisema kufunga sio kubadilisha ratiba ya kula bali kufunga ni ibada yenye taratibu zake na akauliza nani anafuata taratibu zote za ibada hii?
mamii next of kin nashukuru hata kwa jalamba unalonipigia manake weye ndo mtetezi wangu..
love u mwahhhhhh!
Sister Unamuonaje princess enny?.............