blaine n kurt kumbuka miye ni dada yako plizzzzz Kaizer asije kuwashia kombora bure...........itanisaidia mno hiyo picture, tena nitaiweka kwenye Login screen ya PC yangu ^_^. jamani tunabaniana hadi picha, ningeomba namba jee?
haya we nibanie tuu, unadhani mie ni 'watoto show'. kwa nini Kaizer anipige mabomu, nimekuwa gaidi??blaine n kurt kumbuka miye ni dada yako plizzzzz Kaizer asije kuwashia kombora bure...........
My sister wa ukwee gfsonwin....for job and pilikapilika sake za asubuhi hii hebu badilisha hicho kigauni kwenye avatar....uuuuuph
mmmh!!!!! we platozoom alivyopendeza hata padre atamwambia akae mbele!! dada ako kaumbika hata akivaa shuka bado utastuka!lol gfsonwin umependeza mwaya!!
ahsante sana princess enny
Nipikie kande kwa mlenda au michembe ndo nitakusamehe
usjali subiri kula mlenda wa karanga jioni ya leo kwa ugali lainiiii na samaki mkavu utafaidije leo!
Eeeeeeeeeeeh....nani anataka multiple colour kwenye familia
usijali kabisa chezeya dada wa ukweli napika kama mama alivyotufundisha unakumbuka lakini?Mate yashaanza kujaa mdomoni, usisahau pilipili kwa mbaali na ndimu
platozoom halafu ujue sikuelewi vile kaka yangu wa moyoni. kwanini lakini dada akikutuma humtii? nakusubiria ivoo
siamini yaani ninamkosa gfsonwin kisa sura yangu ni sharobaro, kweli sio fair!! naombeni dawa ya kukaza sura ili niweze kumpata maana vigezo vingine ninavyo.Ulidhani sister anapenda masharobaro...anataka wenye sura ngumu kama Kaizer
EDIT hii post tafadhali wanaume huwa hatuolewi, mimi sio mwanaume surualiwadogo kama hawa dada haolewi ng'o!