Hii hapa Tafsiri ya "Manka" kichagga na tabia zao

Nimekumbuka watuma salamu wakubwa Redioni...

MankaM Mushi- Clouds FM
Mama Manka -redio One
Chesco Mzee wa Matunda- Radio One
Chidi chidi chitenda- Rtd..
 
Unatulisha matango ya misitu ya kongo...manka ni majina ya watoto wa pili wa kike kuzaliwa iko machame na kibosho,hakuna manka uru,oldmoshi,marangu,rombo
Huyu hajui manka haiko uchagani kote sijawahi sikia manka marangu au huko rombo au kishimundu. Mleta mada katia chumvi,manka Iko machame na kibosho tu
 
Unatulisha matango ya misitu ya kongo...manka ni majina ya watoto wa pili wa kike kuzaliwa iko machame na kibosho,hakuna manka uru,oldmoshi,marangu,rombo
Wapo kibao sema wanakataaga tu. Nipo na warombo kibao wanaitwa hivyo
 
Back
Top Bottom