Kwenye huo uchaguzi tunakaa eneo la tukio kuanzia saa 2 asubuh mpk saa 1 usiku??Kwenye uchaguzi Wa ubunge,udiwani,urais huwa mnakula chakula?
Watu huwa tunakaa masaa sita hadi saba tunasugulishwa tu mistarini na hatujawahi kunywa hata chaiKwenye huo uchaguzi tunakaa eneo la tukio kuanzia saa 2 asubuh mpk saa 1 usiku??
Chakula watakula makwao..ndala tunashida ya pesa kila mtanzania anajua!
Kwenye uchaguzi Wa ubunge,udiwani,urais huwa mnakula chakula?
Nauza yanga mbovu na dola chakavu....Ratiba ya uchaguzi wa Yanga imetoka katika hali isiyokuwa ya kawaida hamna ratiba ya chakulaView attachment 1088458
VYURAAA VYURAAAAAA VYURAAAAA TASAF FC
KamweneeeMsolaaaa
Uchaguzi wenu huwa mnafuata makombo ya Mo?Ratiba ya uchaguzi wa Yanga imetoka katika hali isiyokuwa ya kawaida hamna ratiba ya chakulaView attachment 1088458
Chakula watakula makwao..ndala tunashida ya pesa kila mtanzania anajua!