Nikikuteua katika wadhafa fulani,siku nakuapisha nakwambia mapema.[emoji23][emoji23][emoji23] good idea
Tukichelewa kufanya maamuzi yatatufika hayo ya kenyaSipati picha wale panya road wa Kenya wangekuja Tanzania!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu ujue sijaandika kwa mihemko, ni swal ambalo liko moyoni mwangu muda mrefu.
Nikiwa raisi polisi nitawachapa sana fimbo. Yani hhhiii!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Swala lingine ni swala la kodi, nikiwa raisi (day dreaming) nitapunguza kodi zote za kila aina to the lowest minimum,ila kila mtu LAZIMA ALIPE KODI.
Nikitaka kwenda ziara ya eneo fulani, natanguliza wapelelezi , nikikuta kuna watu hawalipi kodi, meneja tra wa eneo hilo atavuta pumzi ya moto
Wanajua kuzingatia mipaka yaoHivi hao panya road katika mizunguruko yao mbona hawakatizi katika mageti ya Jeshi?
Mkuu njoo keko,uitest vibaka wapo wa majaribuonasikia juzi kati wamepiga tukio kunduchi yani mi nawatamani nikutane nao bastola yangu toka ninunue haijapata tukio la ku test mitambo
mkuu hapo keko nna bifu nao kuna siku waliniwekea kisu shingoni walikua na bodaboda ila natamani lile tukio lijiludie tuoneshane makaliMkuu njoo keko,uitest vibaka wapo wa majaribuo
Kuna tukio moja niliwahi kusikia mtu alifanya makosa akapitia kituo cha Polisi halafu akawauliza kuwa bangi inauzwa wapi maeneo yale! Police hawakumchukulia hatua walijua kuwa ni chizi; kumbe hapana alikuwa na akili timamu isipokuwa alikosea tu kwa sababu waliokuwepo kituoni hawakuwa wamevaa sare.Hivi hao panya road katika mizunguruko yao mbona hawakatizi katika mageti ya Jeshi?
Huyajui mageti ya Jeshi wewe!Kuna tukio moja niliwahi kusikia mtu alifanya makosa akapitia kituo cha Polisi halafu akawauliza kuwa bangi inauzwa wapi maeneo yale! Police hawakumchukulia hatua walijua kuwa ni chizi; kumbe hapana alikuwa na akili timamu isipokuwa alikosea tu kwa sababu waliokuwepo kituoni hawakuwa wamevaa sare.
Panya road wakipita maeneo ya jeshini, kama hawatafanya tukio, possibly wanajeshi wanaweza kudhani kuwa ni vijana tu wa kawaida wamefurahia amani ndani ya nchi yao. Ni sehemu ambayo panya road hawezi kufanya tukio, hata kama kuna mamillion ya fedha yameachwa nje ya geti, hawawezi kuyachukua, na kama watayachukua, basi watayapeleka kwenda kuyasalimisha mahali salama panapohusika
Unamaanisha nini? Unamaanisha kuwa panya road wanao uwezo wa kuya-access mageti ya jeshi? Basi kama ni hivyo wasogee na huko halafu tusubiri kusikia ni nini kitatokea kwa sababu masikikio tunayoHuyajui mageti ya Jeshi wewe!
Basi nenda kituoni kawaeleze hzo njia za kuwadhibitiHili ndilo kosa kubwa sana Hayati JPM aliwahi kufanya, kama ni kweli. Ukiruhusu hivyo huwezi kujua watu wengine wabaya wanaweza kuutumia mwanya huo kufanya mauaji; na ndiyo maana kuna maiti zilikuwa zinasemekana kuokotwa sehemu mbalimbali ikiwemo mtoni. Serikali huwa haishindwi na hivyo haiwezi kuwashindwa panya road. Njia zipo nyingi tu za kuwadhibiti
Umemwelewa lakini au ndio watetezi wa Wahalifu na kuwachukia Polisi? Ni wanasiasa TU ndio hua wanaonewa na Polisi lakini sio vibaka. Vibaka na Majambazi wanajulijana ndio maana wakikamatwa na kufungwa mitaa inakua salama.Wakiachiwa Hali ya uhalifu inarudi.Huwezi waamini polisi kiasi hicho.
Sio kila anayekamatwa na kutuhumiwa kuwa ni mhalifu, ni kweli ni mhalifu.
Hata wengine wanaweza mpaka kutiwa hatiani na mahakama kwa ushahidi wa magumashi lakini kiukweli hawana hatia.
Sasa ukiua watu wa hivyo halafu baadaye ukaja fahamu kuwa walikuwa sio wahalifu, utajiskiaje?
huu ujinga wenu ndio unawachelewesha.Huwezi waamini polisi kiasi hicho.
Sio kila anayekamatwa na kutuhumiwa kuwa ni mhalifu, ni kweli ni mhalifu.
Hata wengine wanaweza mpaka kutiwa hatiani na mahakama kwa ushahidi wa magumashi lakini kiukweli hawana hatia.
Sasa ukiua watu wa hivyo halafu baadaye ukaja fahamu kuwa walikuwa sio wahalifu, utajiskiaje?
Soma na comments nyingine sio unakurupuka tu!Unamaanisha nini? Unamaanisha kuwa panya road wanao uwezo wa kuya-access mageti ya jeshi? Basi kama ni hivyo wasogee na huko halafu tusubiri kusikia ni nini kitatokea kwa sababu masikikio tunayo
Sawa mwerevu.huu ujinga wenu ndio unawachelewesha.
huwaamini,na unalalamika hali mbaya mtaani kiusalama,fanya kitu basi jamii ijue upo na umechukua hatua.